Aliyeng'atwa na Nyoka afia Kituo cha Afya kisa hana 150,000 Wilayani Babati

Ii ni mbaya sana aiwezekani mgonjwa afie kituo cha afya kizembe ivyo
 
Wahudumu wa afya Wako pale kwa ajili ya kuokoa uhai wa wananchi hasa kwenye dharura za aina hizi.... Hivi inapata picha ya kung"atwa na nyoka tena mwenye sumu kali... Mathalani.... Walichofanya hao wahudumu ni kipi hapo, kukusanya pesa au?
Hiyo ni kazi kama kazi zingine .Mnahimizwa sana muwe na bima ya afya ila hamzingatii.

Wewe hapo unapofanya kazi unaweza kumuhudumia mtu bure?
 
Hv kweli unaacha binadamu mwenzako anakufa kwa kushindwa kutoa 150000 kwa wakati!!???
Tumefika pabaya sana
Kabisa, wanashindwaje hata ikibidi walatwe kwenye salary zao, sijajua ni mazingira ya namna gani yaliwafanya wasiwe na huruma kwa kitu urgent?😭
 
Daah maza anajiona anakata moto hivihivi bila msaada ndani ya nchi yake yenye uhuru
 
Ndio muone sasa umuhimu wa kuwa na bima ya afya.
Mjini tu kuna watu wengi hawana Bima ya Afya kwa sababu hawawezi kumudu gharama zake, sembuse vijijini?!

Halafu kwa mfumo wa NHiF wa siku hizi inawezekana tiba ya hivyo hawahusiki. Kuna magonjwa mengi tu siku hizi unaambiwa ulipe cash hata kama una kadi ya NHiF.

 
Hospital zetu wahudumu wake wana roho mbaya mno mno, laana ya Mungu iwe juu yao,hopst za govment ni majanga kabisa
 
Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwenye uzi kama huu unaohusu "wanyonge wasio na sauti" kuangamia kutokana na sera na mipango mibovu ya watawala, timu chawa hawatii neno, wanapita kimya kimya tu...
Tlaatlaah Lucas Mwashambwa ChoiceVariable
 
Aya matukio ni mengi hawa vijana wana lilia ajira wakipata wanakua wangese sana uko kazini wana sahau kila kitu
Ndugu ujui kitu waliomo ndani ya kada ndio wanaelewa ugumu wa kumuhudumia mgonjwa nje ya utaratibu wa malipo unavyotaka.
Cha msingi tambua siasa mbaya sana hiyo mifumo imewekwa na wanasiasa Hila jumba bovu linaangushiwa kwa wauguzi wetu
 
Kwenye uzi kama huu unaohusu "wanyonge wasio na sauti" kuangamia kutokana na sera na mipango mibovu ya watawala, timu chawa hawatii neno, wanapita kimya kimya tu...
Tlaatlaah Lucas Mwashambwa ChoiceVariable
Tujihadhari na nyoka wenye sumu kali ni hatari kwa maisha na uhai wa kila mwanadamu,

hata hivyo,
ni muhimu sana kuipa kipaumbele Afya yako kuliko iphone unayomiliki.
Ni jambo la maana sana kila familia kua na bima ya afya kuepuka fedheha linapokuja suala la kuugua na wakati huo uko tee, hauna jambo lolote mfukoni, lakini una iphone ya milioni 4 lakini huna bima ya lakini moja.

hakuna haja ya kuona fahari kuripoti msiba. Ni muhimu kila mdau kua na bima ya afya .

R.I.P Juliana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…