peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Ukiwa bungeni kataa kulitisha bajeti ya hiyo wizaraMdoli huyu hata vitoto vyenye certificate ya electronic ya pale VETA vinaweza kuujenga.
Mdoli eti mpaka uusogelee usubiri dk kadhaa apate hisia ya kunyoosha mkono .
Mdoli waneupaka rangi ya Tanzania, mdoli hautembei, haujui Kiswahili wala lugha yoyote.
Waliohusika kuununua washikwe wafunguliwe mashitaka ya uhujumu uchumi na udanganyifu kwa umma.
Watanzania wamemaliziwa bandle zao kutazama mdoli ambao hauna maajabu.
View attachment 2992976