Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili mdoli ufike pale pesa na muda wa watu vimetumika.Umetoa mashtaka yasiyo na facts, wamenunua wapi mdoli huyo? hao watoto wa veta kwa nn hawakutengeneza
Veta wametenengeza kipi ambacho kiko international standards? Veta wamefanya kazi gani kwenye world of AI au robotics ambayo ina viwango vya kimataifa?Ili mdoli ufike pale pesa na muda wa watu vimetumika.
VETA hawakupewa fursa hiyo.
Kwa kweli ule mdoli hauko kwenye level ya kitaifa (bungeni), hata ile ya watoto ipo inayojibu maswali, kuongea na kutenda.
Wao walianza na kitu kipya ambacho hakikuwepo. Sasa dunia ya leo unajaribu kufanya kitu ambacho wenzako wameshakigundua na wapo kwenye stages za juu kabisa, wewe ndiyo unaanza? Kwa nini usijaribu kuendeleza hapo walipo sasa hivi au ukaanza na kitu kipya kabisa?Hata akina The Wilbur Brothers walipoanza kutengeneza ndege walikejeliwa hivyo hivyo, lakini Leo ni malegendari.
Hata midoli ya kwenye maduka ya nguo ina afadhali. Hii serikali ni kichekesho. Madukani kuna vi-toys vidogo vidogo kabisa na vinafanya maajabu kuliko huo mdubwasha wa Bunge.Mdoli wa kwenye maduka ya nguo.
Ni muhimu kujua kwamba hatuanzi kufanya utafiti from the scratch. Tunatumia teknolojia iliyopo kwenda mbele tukiboresha ioane na mahitaji yetu.Veta wametenengeza kipi ambacho kiko international standards? Veta wamefanya kazi gani kwenye world of AI au robotics ambayo ina viwango vya kimataifa?
Nakubaliana kabisa kuwa tunatumia tech iliyopo. But then how fast can we capitalize and cope ?Ni muhimu kujua kwamba hatuanzi kufanya utafiti from the scratch. Tunatumia teknolojia iliyopo kwenda mbele tukiboresha ioane na mahitaji yetu.
Changamoto kubwa tunayoikabili ni sekta ya uma yenye madaraka kukaliwa na watu wenye fikra na elimu za kukariri (utumwa wa fikra wakidharau bila hata kutathmini uwezo wa ndani).
Kama huyo robot angekaribisha wabunge, akaingia ndani, akachukua nafasi na kutoa hotuba, hapo kidogo ingekuwa level ya kibunge na kitaifa.
Hiyo nyingine ipelekwe kindergarten.
Kwani unazo akili za kuelewa?Utetezi wa kipuuzi kabisa huu.
Hayo ni mawazo yako siyo Serikali. Kanunue na wewe robot lakoAcha kutetea ujinga. Maroboti Dunia ya Leo ni mengi na yanafanya hadi kazi ndani na mashambani. Kwani ni lazima sisi tumtengeneze wa kwetu? Kwanini usiende Kwa wenye ujuzi ukampa specifications zako wakakutengenezea? Yule wa NAPE ni mdoli, siyo Roboti.
Kiukweli ni mdoli 100%Acha kutetea ujinga. Maroboti Dunia ya Leo ni mengi na yanafanya hadi kazi ndani na mashambani. Kwani ni lazima sisi tumtengeneze wa kwetu? Kwanini usiende Kwa wenye ujuzi ukampa specifications zako wakakutengenezea? Yule wa NAPE ni mdoli, siyo Roboti.
Siku tukiamua kuwekeza kwa dhati kwenye sayansi na teknolojia, ndipo tutaanza kujadili haya yote. Kwa sasa viongozi wetu bado hawajitambui, tuendelee kufanya mambo ya kitoto tu.Nakubaliana kabisa kuwa tunatumia tech iliyopo. But then how fast can we capitalize and cope ?
Una uhakika Kila kitu ulimwenguni kimeishagunduliwa? Na kama ni hivyo kwanini Wanasayansi wengi wanasema "The unfolded science is more than 87% of what's known today? Ebu nidadafulie ndugu!Wao walianza na kitu kipya ambacho hakikuwepo. Sasa dunia ya leo unajaribu kufanya kitu ambacho wenzako wameshakigundua na wapo kwenye stages za juu kabisa, wewe ndiyo unaanza? Kwa nini usijaribu kuendeleza hapo walipo sasa hivi au ukaanza na kitu kipya kabisa?
Kwahiyo kama wewe umezoea kutuliza makalio unafikir Kila mtu anaweza? Kwanza ukishatuliza hayo makalio yako huwa yanafanywa nini?Tuliza makalio. Akili yako ni ndogo kuelewa kwa nini jana Eunice akitumia alili mnemba (Artificial Intelligence) alikuwa ndiye mkaribisha wageni bungeni na kutoa ile summary ya malengo ya wizara ya mawasiliano.
Dunia yote inakwenda kiteknolojia kuanzia elimu, utafiti, vita, usafirishaji na hadi huduma kwa wateja.
Kama Tanzania ita zembea au itazubaa kwenye kwenda ana kasi ya dunia basi itaachwa vibaya kwenye mbio za kujenga uchumi mkubwa na ulio bora.
Kama unaona ile robot Eunice ni mdoli basi na wewe ni mdoli pia japo unatembea mwenyewe.