Aliyenunua mdoli na kuuweka bungeni ashikwe afunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi

Aliyenunua mdoli na kuuweka bungeni ashikwe afunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi

Una uhakika Kila kitu ulimwenguni kimeishagunduliwa? Na kama ni hivyo kwanini Wanasayansi wengi wanasema "The unfolded science is more than 87% of what's known today? Ebu nidadafulie ndugu!
Hebu soma tena kama nimesema kila kitu ulimwenguni kimeshagundulika! Wabongo tuna matatizo ya kutokusoma kwa ufahamu.
 
Tuliza makalio. Akili yako ni ndogo kuelewa kwa nini jana Eunice akitumia alili mnemba (Artificial Intelligence) alikuwa ndiye mkaribisha wageni bungeni na kutoa ile summary ya malengo ya wizara ya mawasiliano.

Dunia yote inakwenda kiteknolojia kuanzia elimu, utafiti, vita, usafirishaji na hadi huduma kwa wateja.

Kama Tanzania ita zembea au itazubaa kwenye kwenda ana kasi ya dunia basi itaachwa vibaya kwenye mbio za kujenga uchumi mkubwa na ulio bora.

Kama unaona ile robot Eunice ni mdoli basi na wewe ni mdoli pia japo unatembea mwenyewe.
Vipi unaonaje Ile tume huru feki ikatumia hiyo Midori kusimaia uchaguzi ili uwe huru na haki

Au mambo ya uchaguzi hayahiitaji technologia ili muendelee kula
 
Kumbe huna uzoefu basi huna rights, una videos wakati AI au robots zikiwa kwneye early stages before kufika hapo?

Unadhani waliamka tu na product kichwani? Imetake time kwa wenzetu
My point punguza kuponda kitu ambacho hukifahamu.
Kwetu sisi tuko nyuma, hatuwez shindana na walioko nje ambao wako advance kwa sasa, wewe unachotaka wapeleke kitu kama robot sophia bungeni, kaka nchi hatujafika hapo yet

Japo wamejaribu haimaanishi ni taka taka, unless wewe unaweza tengeneza better one
Ningewasifu kama wangekuwa watanzania. Mnapoteza pesa kwenda SA kuleta midoli? Kule SA hiyo takataka haiingii bungeni, mhuni mmoja serikalini kawatafuta wahuni wenzie wa mitaani SA.

KWANZA ILILETWA KWA AJILI GANI?
 
Back
Top Bottom