Aliyenunua mdoli na kuuweka bungeni ashikwe afunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi

Ukiwa bungeni kataa kulitisha bajeti ya hiyo wizara
 
Na hatupaswi kuanzia kule walikoanzia wao miaka hiyo, itatuchukua miongo kadhaa kufika walipo wao leo hii, na tutawakuta wako mbali mara 1000 zaidi. Tunapaswa kuigiza wanachokifanya wachina, kuanzia pale walipo sasa na kuboresha zaidi kama tunaweza. Na ni kuhakikishie kuwa hatutokuja kuweza kwani hatujaamua kuwekeza kwenye sayansi na teknolojia. Tumeamua kuwekeza kwenye siasa na blabla, sayansi haitaki blabla hata kidogo
 
Tanzania haiishi vituko. Na lile ''gari'' la Kipanya limeishia wapi?
Kipanya alifanya jambo lake kwa pesa yake na wala si serikali. Na bado anaendela kufanya kwanza mimi namwona alifanya kitu kizuri kwa kunua engine, na vifaa vingine akaunda body yake na kutengeneza gari.

Kwani kipanya anatofauti gani na drone za Iran ambazo zimepata umashuhuri? Maana engine ya zile drone ni za mchina, mfumo wa cordinate ni wa mrusi, na vitu kibao wao wametengeneza body na explosive head.

Duniani mambo ndivyo yalivyo hakuna kampuni inatengeneza kila kitu hata Dell, CPU intel, GPU intel au AMD, HDD segate au Western digital au Samsung, Display, samsung au LG, yani unakuta component karibu zote zimeundwa an kampuni nyingine wao wameunda kasha na kuziunga.

So, kipanya amefanya poa sana ilikuwa ni hatua nzuri kwake.

Ila sasa kuleta robot linafanana la kwenye duka la nguo likiwa na speaker halafu uliweke bungeni kwa pesa ya serikali kwakweli hicho ni kichekesho sana.
 
Bongo bado Sana, twende tukajifunze Korea, Japan, china,
Project ya huyo mdoli watu wamepiga pesa ndefu, ndio akili za, Nape zilipoishia,
Kama, UD ilishindwa kutengeneza simple circuit tu ya, kufungua maji na sabuni, MTU anawe mikono!,
Nimeenda, taasisi moja,mabomba ya, chooni tu, unaweka mikono, maji yanatoka, unakata gogo, ukiinuka tu, flash faster
 
Kwani wewe ulitaka ufanyeje ndio uusifie? Au ulitaka useme "Nataka Serikali ya Tanganyika" ndio uuone wa maana? Ahahahahaha!!!
 
Acha kutetea ujinga.Dunia iko mbali sana hakuna sababu yakuanzia nyuma wakati tuna uwezo wakuanzia walipo wenzetu tukaenda nao mbele. Tuwe serious badala yakutumia akili za kitoto kwenye mambo ya msingi. Huo utoto wangefanya vijana wa veta hakuna ambaye angeshanga ila limefanywa na wizara yenye dhima yakusimamia nakukuza teknolojia. Walikua na muda wakuja na kitu kizuri kwasababu hakukua na uharaka wowote wakutuletea hilo doli.
 
Hata akina The Wilbur Brothers walipoanza kutengeneza ndege walikejeliwa hivyo hivyo, lakini Leo ni malegendari.
Acha porojo zakizamani, dunia ilishatoka uko.Wekezeni kwenye tafiti na elimu kwasababu kila kitu kipo. Hao unaowasemea wao walianzia kwenye wazo sisi hatujaanzia kwenye wazo bali kucopy mawazo ya wenzetu. Sasa kwanini tusivuke zaidi.Kucopy wazo la mtu alafu ukalifanya kijinga ni ujinga zaidi.
 
Kwa sababu wewe unajua, Kwanini usitoe mfano kwa vitendo kwa hawa wabunifu wetu?
 
Kwakua kazi ya uyo mwanasesere imeisha, mimi nilikua namuomba nimuweke alinde huku shambani kwangu maana kima wanamaliza mazao
 
Mkuu, Mambo ya kurudi miaka 100 nyuma kwa kuhangaika kutengeneza vitu visivyo na maana sababu wengine walipita ni ujinga. Tuchukue watafiti wakatafiti kisha tuendelea na wengine walipo. Mtu unakuta anahangaika na ndege ya mabati inafanana kama mashine ya kutindulia kokoto anakuambia wenzetu walianza hivi, dunia itakuwa inakusubiri tu ukue usambaze machuma chuma yako?
 
watafiti wako hapa hapa je sera zinawabeba, ni kweli kuna hizi so called “vumbuzi” but in reality hazileti tija, how about wangewachukua hao watu na kuwapeleka mbele, wapewe elimu zaidi
 
Reactions: Tsh
Wewe akili zako zimefanana na huo mdoli hapo mlangoni
 
Acha kutetea ujinga. Maroboti Dunia ya Leo ni mengi na yanafanya hadi kazi ndani na mashambani. Kwani ni lazima sisi tumtengeneze wa kwetu? Kwanini usiende Kwa wenye ujuzi ukampa specifications zako wakakutengenezea? Yule wa NAPE ni mdoli, siyo Roboti.
 
watafiti wako hapa hapa je sera zinawabeba, ni kweli kuna hizi so called “vumbuzi” but in reality hazileti tija, how about wangewachukua hao watu na kuwapeleka mbele, wapewe elimu zaidi
Upo sawa kwenye elimu. Na ndo nlichosema kuwa kuwe na bajeti ya kutafiti jambo husika na fedha za utendaji kwa kiwango cha sasa au zaidi cha soko sio kurudi miaka walipoanzia waliofanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…