Aliyenunua mdoli na kuuweka bungeni ashikwe afunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi

Umetoa mashtaka yasiyo na facts, wamenunua wapi mdoli huyo? hao watoto wa veta kwa nn hawakutengeneza
Ili mdoli ufike pale pesa na muda wa watu vimetumika.
VETA hawakupewa fursa hiyo.
Kwa kweli ule mdoli hauko kwenye level ya kitaifa (bungeni), hata ile ya watoto ipo inayojibu maswali, kuongea na kutenda.
 
Ili mdoli ufike pale pesa na muda wa watu vimetumika.
VETA hawakupewa fursa hiyo.
Kwa kweli ule mdoli hauko kwenye level ya kitaifa (bungeni), hata ile ya watoto ipo inayojibu maswali, kuongea na kutenda.
Veta wametenengeza kipi ambacho kiko international standards? Veta wamefanya kazi gani kwenye world of AI au robotics ambayo ina viwango vya kimataifa?
 
Hata akina The Wilbur Brothers walipoanza kutengeneza ndege walikejeliwa hivyo hivyo, lakini Leo ni malegendari.
Wao walianza na kitu kipya ambacho hakikuwepo. Sasa dunia ya leo unajaribu kufanya kitu ambacho wenzako wameshakigundua na wapo kwenye stages za juu kabisa, wewe ndiyo unaanza? Kwa nini usijaribu kuendeleza hapo walipo sasa hivi au ukaanza na kitu kipya kabisa?
 
Veta wametenengeza kipi ambacho kiko international standards? Veta wamefanya kazi gani kwenye world of AI au robotics ambayo ina viwango vya kimataifa?
Ni muhimu kujua kwamba hatuanzi kufanya utafiti from the scratch. Tunatumia teknolojia iliyopo kwenda mbele tukiboresha ioane na mahitaji yetu.
Changamoto kubwa tunayoikabili ni sekta ya uma yenye madaraka kukaliwa na watu wenye fikra na elimu za kukariri (utumwa wa fikra wakidharau bila hata kutathmini uwezo wa ndani).
Kama huyo robot angekaribisha wabunge, akaingia ndani, akachukua nafasi na kutoa hotuba, hapo kidogo ingekuwa level ya kibunge na kitaifa.
Hiyo nyingine ipelekwe kindergarten.
 
Ndio akili za kina tulia Epson hizo.Wana-Mbeya tunakuqngalia tu na vituko vyako.As long as jiwe is dead tutakushughulikia 2025
 
nimesikia yanaweza kufanya kazi mbali kama ualimu kufundisha watu na hospital kufanya oparesheni lai yangu ni moja.. wanunue mengne wayape teuzi ..
 
Nakubaliana kabisa kuwa tunatumia tech iliyopo. But then how fast can we capitalize and cope ?
 
Hayo ni mawazo yako siyo Serikali. Kanunue na wewe robot lako
 
Kiukweli ni mdoli 100%
 
Nakubaliana kabisa kuwa tunatumia tech iliyopo. But then how fast can we capitalize and cope ?
Siku tukiamua kuwekeza kwa dhati kwenye sayansi na teknolojia, ndipo tutaanza kujadili haya yote. Kwa sasa viongozi wetu bado hawajitambui, tuendelee kufanya mambo ya kitoto tu.
 
Una uhakika Kila kitu ulimwenguni kimeishagunduliwa? Na kama ni hivyo kwanini Wanasayansi wengi wanasema "The unfolded science is more than 87% of what's known today? Ebu nidadafulie ndugu!
 
Kwahiyo kama wewe umezoea kutuliza makalio unafikir Kila mtu anaweza? Kwanza ukishatuliza hayo makalio yako huwa yanafanywa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…