Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
-
- #81
Ehehhehe πππππKuna ndugu yangu ni Mbunge kutoka mkoani Mara hapo kwenu Tanzania, anasema ilikuwa kidogo tu alipige ngwara hilo dubwasha kwa hasira.
Hebu soma tena kama nimesema kila kitu ulimwenguni kimeshagundulika! Wabongo tuna matatizo ya kutokusoma kwa ufahamu.Una uhakika Kila kitu ulimwenguni kimeishagunduliwa? Na kama ni hivyo kwanini Wanasayansi wengi wanasema "The unfolded science is more than 87% of what's known today? Ebu nidadafulie ndugu!
Hivyo vitoto, au wewe, vijenge basi mdoli wao halafu walete tulinganishe na huyu.Mdoli huyu hata vitoto vyenye certificate ya electronic ya pale VETA vinaweza kuujenga.
Vipi unaonaje Ile tume huru feki ikatumia hiyo Midori kusimaia uchaguzi ili uwe huru na hakiTuliza makalio. Akili yako ni ndogo kuelewa kwa nini jana Eunice akitumia alili mnemba (Artificial Intelligence) alikuwa ndiye mkaribisha wageni bungeni na kutoa ile summary ya malengo ya wizara ya mawasiliano.
Dunia yote inakwenda kiteknolojia kuanzia elimu, utafiti, vita, usafirishaji na hadi huduma kwa wateja.
Kama Tanzania ita zembea au itazubaa kwenye kwenda ana kasi ya dunia basi itaachwa vibaya kwenye mbio za kujenga uchumi mkubwa na ulio bora.
Kama unaona ile robot Eunice ni mdoli basi na wewe ni mdoli pia japo unatembea mwenyewe.
Ningewasifu kama wangekuwa watanzania. Mnapoteza pesa kwenda SA kuleta midoli? Kule SA hiyo takataka haiingii bungeni, mhuni mmoja serikalini kawatafuta wahuni wenzie wa mitaani SA.Kumbe huna uzoefu basi huna rights, una videos wakati AI au robots zikiwa kwneye early stages before kufika hapo?
Unadhani waliamka tu na product kichwani? Imetake time kwa wenzetu
My point punguza kuponda kitu ambacho hukifahamu.
Kwetu sisi tuko nyuma, hatuwez shindana na walioko nje ambao wako advance kwa sasa, wewe unachotaka wapeleke kitu kama robot sophia bungeni, kaka nchi hatujafika hapo yet
Japo wamejaribu haimaanishi ni taka taka, unless wewe unaweza tengeneza better one
Tuliza kwanza tukuonyeshe kaziKwahiyo kama wewe umezoea kutuliza makalio unafikir Kila mtu anaweza? Kwanza ukishatuliza hayo makalio yako huwa yanafanywa nini?
Hongera kwa kuonyeshwa kazi baada ya kutuliza hayo makalio, endelea hivyo hivyo mkuu maana makalio ni Yako na hakuna wa kukupangia matumizi yake.Tuliza kwanza tukuonyeshe kazi