Aliyeolewa akaachika miaka 7 sasa imepita ila hakupewa talaka, Anataka nimuoe. Je, naweza kumuoa?

Mributz

Senior Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
177
Reaction score
527
Naishi naye huu mwaka wa 3 bila ya ndoa.

Hadithi yake ya nyuma ipo hivi
" Alioelewa akiwa na miaka 17 baada ya kupewa ujauzito na uyo jamaa na wakaishi wote miaka 8 kwenye ndoa na kuzaa watoto wawili.

Sababu ya kuachana uyo jamaa alianza kula madawa ya kulevya ndugu wakampeleka sober akarudi kwa madai ameacha baada ya muda akarudia tena . Uyu mama akarud kwao jamaa akazama kwenye uteja tena .uyu mwanamke akarudi kwao kabisa. Sasa imepita miaka 7 tokea waachane

Mimi
" Anataka nimuoe kwaajili ya hii ramadhan .na nimeishi nae mwaka wa 3 sasa kama mke na mume

Karibuni
 
Mathematics!
Aliolewa akiwa na 17yrs, akaishi kwenye ndoa 8yrs, akaikimbia ndoa 7yrs, na wewe ukawa naye kwenye mahusiano 3yrs na anawatoto wawili.

Kwa haraka haraka saivi ana miaka 40, mbona unataka kuuziwa mbuzi kwenye gunia huyo si bibi kabisaaa! Yaani umekosa vijana wenzio mpaka ukaangukie penzi la kibibi? Shtuka mkuu.

N.B mtoto wake wa kwanza atakuwa na miaka 17/18. Kwamujibu wa maelezo yako.
 
Aliolewa akiwa na 17, akaishi kwenye ndoa 8 years, tokea stoke kwenye ndoa mpaka sasa ni 7 years (ndani ya hii miaka 7, pia ipo ile miaka 3 aliyoishi na jamaa)

17+8+7 = 32 years.

So kwa makadirio anaweza akawa kwenye early 30's
 
Upo sahihi mtoto wake wakwanza yupo form four
 
Aliolewa akiwa na 17, akaishi kwenye ndoa 8 years, tokea stoke kwenye ndoa mpaka sasa ni 7 years (ndani ya hii miaka 7, pia ipo ile miaka 3 aliyoishi na jamaa)

17+8+7 = 32 years.

So kwa makadirio anaweza akawa kwenye early 30's
34
 
Mabinti fresh watapata tabu sana.
Kule PEMBA dume limegeuzwa mke, huku nako kijana anataka kuoa mke wa Teja. Hawa warembo mnataka wafe na bikira zao?
Mabeberu wanatuhimiza tuoe wanaume.
 
Analyse vp umeniamini alafu unamshauri amuoe mama yake keshokutwa aje aitwe babu?
Kwan yeye mleta mada umeujua umri wake?

Alaf swala la umri wa huyo mwanamke na watoto wake, vyote alivijua, na bado akaweza kuishi nae miaka mitatu, hadi wazo la kumuoa likamjia, hajakurupuka.

Na ndio maana ushauri anahitaji umelenga eneo jingine kabisa
 
Mtoa mada ni mdogo kuliko huyo mwanamke anayetaka kumuoa still yuko kwenye mid 20's ndio maana nashangaa sana!
 
Back
Top Bottom