Aliyeolewa akaachika miaka 7 sasa imepita ila hakupewa talaka, Anataka nimuoe. Je, naweza kumuoa?

Naishi naye huu mwaka wa 3 bila ya ndoa.

Hadithi yake ya nyuma ipo hivi
" Alioelewa akiwa na miaka 17 baada ya kupewa ujauzito na uyo jamaa na wakaishi wote miaka 8 kwenye ndoa na kuzaa watoto wawili.

Sababu ya kuachana uyo jamaa alianza kula madawa ya kulevya ndugu wakampeleka sober akarudi kwa madai ameacha baada ya muda akarudia tena . Uyu mama akarud kwao jamaa akazama kwenye uteja tena .uyu mwanamke akarudi kwao kabisa. Sasa imepita miaka 7 tokea waachane

Mimi
" Anataka nimuoe kwaajili ya hii ramadhan .na nimeishi nae mwaka wa 3 sasa kama mke na mume

Karibuni
Jiandae kwa kesi ya ugoni na kudaiwa fidia ya mamilioni, akavunje ndoa kwanza kisheria ndiyo muendelee na uhawara au ndoa
 
Naishi naye huu mwaka wa 3 bila ya ndoa.

Hadithi yake ya nyuma ipo hivi
" Alioelewa akiwa na miaka 17 baada ya kupewa ujauzito na uyo jamaa na wakaishi wote miaka 8 kwenye ndoa na kuzaa watoto wawili.

Sababu ya kuachana uyo jamaa alianza kula madawa ya kulevya ndugu wakampeleka sober akarudi kwa madai ameacha baada ya muda akarudia tena . Uyu mama akarud kwao jamaa akazama kwenye uteja tena .uyu mwanamke akarudi kwao kabisa. Sasa imepita miaka 7 tokea waachane

Mimi
" Anataka nimuoe kwaajili ya hii ramadhan .na nimeishi nae mwaka wa 3 sasa kama mke na mume

Karibuni
Kwa hiyo unataka umuoe mke wako?Wonderful!
 
Sio yule wa dr year unatafuta ugomvi mkuu ww.
 
Back
Top Bottom