Jiandae kwa kesi ya ugoni na kudaiwa fidia ya mamilioni, akavunje ndoa kwanza kisheria ndiyo muendelee na uhawara au ndoaNaishi naye huu mwaka wa 3 bila ya ndoa.
Hadithi yake ya nyuma ipo hivi
" Alioelewa akiwa na miaka 17 baada ya kupewa ujauzito na uyo jamaa na wakaishi wote miaka 8 kwenye ndoa na kuzaa watoto wawili.
Sababu ya kuachana uyo jamaa alianza kula madawa ya kulevya ndugu wakampeleka sober akarudi kwa madai ameacha baada ya muda akarudia tena . Uyu mama akarud kwao jamaa akazama kwenye uteja tena .uyu mwanamke akarudi kwao kabisa. Sasa imepita miaka 7 tokea waachane
Mimi
" Anataka nimuoe kwaajili ya hii ramadhan .na nimeishi nae mwaka wa 3 sasa kama mke na mume
Karibuni
Yaan kijana uwezo wake umefikia hapo, umri, umri, bibi, bibi, aiseeeπ π π Hapo mwisho nimecheka sana. Bwana mdogo anaamini ndoa ni za vijana wadogo tu
Kwa hiyo unataka umuoe mke wako?Wonderful!Naishi naye huu mwaka wa 3 bila ya ndoa.