Aliyeona mwezi wa Eid atushtue tujiandae

Aliyeona mwezi wa Eid atushtue tujiandae

Screenshot_20230420-183503.png
 
Bongo vp. Ila Quran inasema, mwezi ukionekana mfungue, Sasa haijaeleza ukionekana wapi, wanazuoni mtupe elimu
Mpaka saa mbili utajua panafanyika mlinganisho wa baina ya sehemu na utofauti wa masaa maana kama unakumbuka tulifunga wote ila sehemu nyingi za Arabuni tayar wamashathibitisha ...
 
Sikukuu zisizokua na mbele wala nyuma hizi..
Hujui usemalo, katika Uislam mwezi una siku 29 au 30 tu. Hakuna mwezi wenye siku 28 au 31, ndio Quran inasema hivyo, ukifatilia kisayansi utaona ni kweli, Sasa ukitaka watu wasifuate mwandamo wa mwezi ili wakosee. Hii sikukuu sio ya kujipangia, lazima ufuate mwandamo wa mwezi
 
Back
Top Bottom