Aliyeona mwezi wa Eid atushtue tujiandae

Aliyeona mwezi wa Eid atushtue tujiandae

sjapanga kuandaa leo, yan had mudahuu hakuna kitu nimeandaa halaf hata presha sina nawaza hapa ukiandama itakuaje sjui
Allah akufanyie wepesi, mambo yatakaa sawa tu.
Ume relax kwa sababu huna taarifa rasmi ila ukiipata utakuwa huna namna.

Ni kweli siku kama ya leo huwa inamuweka mtu njia panda, hajui kipi ni kipi, na kwetu huku huwa wanachelewa kutoa taarifa.

Wenzetu huko taarifa inatolewa mapema tu maghrib ili watu wajue moja.
 
Mie hapa nanyoosha Abaya yangu, kesho niungane na Waislam wenzangu viwanja vya Mnazi Mmoja tukaswali Eid, kama kuna Mtu anamsubiri Mufti nampa poleeeee
 
Allah akufanyie wepesi, mambo yatakaa sawa tu.
Ume relax kwa sababu huna taarifa rasmi ila ukiipata utakuwa huna namna.

Ni kweli siku kama ya leo huwa inamuweka mtu njia panda, hajui kipi ni kipi, na kwetu huku huwa wanachelewa kutoa taarifa.

Wenzetu huko taarifa inatolewa mapema tu maghrib ili watu wajue moja.
mpaka muda huu sina hizo taarifa za kuandama kwa mwezi mana sim zingefululiza leo sijisikii kuandaa mimi ile munkar ya kuandaa viti vya eid ndio sina ndio mana nimekaa comfortable
 
Hizi sikukuu za kusikiliza waarabu zinanshida sana. Alafu sikukuu zenyewe hazieleweki
 
Back
Top Bottom