Aliyeona mwezi wa Eid atushtue tujiandae

Aliyeona mwezi wa Eid atushtue tujiandae

ndio nipo tanga yani hapa nilipo nina furaha mpaka bas Mungu akipenda kesho nitaandaa sasa rasmi viloso na vidubwa dubwa pamoja na masotojo 🤭🤭
Tanga upo sehemu gani ? Mimi nimewahi kuishi Tanga mjini Barbara ya 19 mwaka mmoja na chuda Kata ya majengo pale nyuma ya soko la Tangamano miaka 8.
Nimeondoka Tanga mwaka 2014 na huko nimeacha watoto 2.
Mama yao alikataa kuja kuishi bara.
 
mkuu 🙈🙈🙈🙈
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yan kinachokuleta ni kula?? ni hapo unakuja unakutana na mchuzi wa dagaa wanataka kufufuka tena chuzi tele dagaa kiduchu sjui utafanyaje
Dakaa kikombe kimoja cha chai maji jagi 2 za maji, ukitoweza tonge dagaa wa kuvua mchuzi mpaka kwenye kiwiko cha mkono [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom