Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Saudi Arabia tayar.
Sisi na Oman bado haujaonekana, hivyo eid keshokutwa inshaa Allah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saudi Arabia tayar.
Sijalia 😂😂😂😂 sasa ndio ulie?? haya uje kula
nilikua nakupima uvumilivu wako usijeishia kula nyama ubwabwa ukaniachiaSijalia 😂
Mb karibu yenyewe ya kusua sua hvyo?
🤣😂 ubwabwa tena? Sio birianinilikua nakupima uvumilivu wako usijeishia kula nyama ubwabwa ukaniachia
Nipatie dalili( uthibitisho)toka kwenye Qur'an ama Sunnah Yaani hadithi za Mtumeiwe kadhi au yeyote sisi tunajua ni kiongozi wa kiislam ndiye mwenye mamlaka ya kusema mwezi umeandama kesho iddi inatosha
mimi biriani sjui watu wanalipendea nn, mara mia nile pilau, lakini kwa sababu mgeni raha yake ni biriani bas atapikiwa, tunapenda kumkirim mgeni🤣😂 ubwabwa tena? Sio biriani
Hayo ndio maneno sasa 😋mimi biriani sjui watu wanalipendea nn, mara mia nile pilau, lakini kwa sababu mgeni raha yake ni biriani bas atapikiwa, tunapenda kumkirim mgeni
ni lile rojo ndio unapenda?? au ni kitu ganiHayo ndio maneno sasa 😋
Utamu wa birian nyama tunaujua sisi walaji
Kila kitu si unajua vyakula vya kula kwa kushtukiza, wengine tushazoea chukuchukuni lile rojo ndio unapenda?? au ni kitu gani
duh, sasa lile basmati la kucheshwa kama ubwabwa wa mafuta kasoro rangi na viungo na rojo ambalo muda mwengine hukawii kushinda chooni vya nini, bas uupate mchuzi wa chukuchuku na wali wa nazi utakula had uingie kwenye sufuriaKila kitu si unajua vyakula vya kula kwa kushtukiza, wengine tushazoea chukuchuku
Sio kwamba nalila lote 😂duh, sasa lile basmati la kucheshwa kama ubwabwa wa mafuta kasoro rangi na viungo na rojo ambalo muda mwengine hukawii kushinda chooni vya nini, bas uupate mchuzi wa chukuchuku na wali wa nazi utakula had uingie kwenye sufuria
yaani kwa utam wake utataman uingie kabisa kwenye sufuria,kuna siku nilimkuta mtu anapika mchuzi wa nazi ameweka mafuta jikon akaanza kukaanga vitunguu namuuliza hiko unapika n mchuzi gan ananambia wa naz,wakat mchuzi wa nazi haupikwi hivo napenda kula vitu ambavyo kama ni nazi nazi iwe hiohio sio ya kuongezea mafuta, kama mafuta bas kwa kiasi kidogo sanaSio kwamba nalila lote 😂
Umenichekesha eti nitakula ad niingie kwenye sufuria 😂😂😂😂
Mambo ya tanga hayo 😋yaani kwa utam wake utataman uingie kabisa kwenye sufuria,kuna siku nilimkuta mtu anapika mchuzi wa nazi ameweka mafuta jikon akaanza kukaanga vitunguu namuuliza hiko unapika n mchuzi gan ananambia wa naz,wakat mchuzi wa nazi haupikwi hivo napenda kula vitu ambavyo kama ni nazi nazi iwe hiohio sio ya kuongezea mafuta, kama mafuta bas kwa kiasi kidogo sana
😂😂😂😂 yan kinachokuleta ni kula?? ni hapo unakuja unakutana na mchuzi wa dagaa wanataka kufufuka tena chuzi tele dagaa kiduchu sjui utafanyajeMambo ya tanga hayo 😋
SI mtanifanya nizamie huko navopenda mapishi matamu ?
Kuoa😂😂😂😂 yan kinachokuleta ni kula?? ni hapo unakuja unakutana na mchuzi wa dagaa wanataka kufufuka tena chuzi tele dagaa kiduchu sjui utafanyaje
wanatangaza viongozi hata kama dunia nzima mwezi umeandama haitoshi kusema kesho iddi, mpaka viongozi wa dini waseme iddi ni lini. Mwezi tayari umeandama, kesho utakuwa ni mkubwa na uko juu kila mtu anauonaNipatie dalili( uthibitisho)toka kwenye Qur'an ama Sunnah Yaani hadithi za Mtume
😂😂😂😂 au sio, raha ya mchuzi ukichovya tonge mchuzi ufanye kishimo kidogo, uje uoe wake wa tele ni wewe tu na fahar ya macho yakoKuoa
😂 nsivyopenda kuogelea kwenye mchuzi nitakerekwa sana.
Wenye Akili huwa tunajali tu Tarehe.Kama kawa, Kama dawa
😅 nsijetiliwa limbwata bure nkachizika😂😂😂😂 au sio, raha ya mchuzi ukichovya tonge mchuzi ufanye kishimo kidogo, uje uoe wake wa tele ni wewe tu na fahar ya macho yako