Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
haha mbona mimi sifanyi hilo limbwata?? una waswas bure hata hivo ukifanyiwa hutajua kama ndio limbwata ila sisi tunaokuzunguka ndio tutajua umekwisha habari yako😅 nsijetiliwa limbwata bure nkachizika