Aliyeona mwezi wa Eid atushtue tujiandae

Aliyeona mwezi wa Eid atushtue tujiandae

Hujui usemalo, katika Uislam mwezi una siku 29 au 30 tu. Hakuna mwezi wenye siku 28 au 31, ndio Quran inasema hivyo, ukifatilia kisayansi utaona ni kweli, Sasa ukitaka watu wasifuate mwandamo wa mwezi ili wakosee. Hii sikukuu sio ya kujipangia, lazima ufuate mwandamo wa mwezi
Karibu kwa Mrombooo bwanshee tupige mnyama.
 
images .jpeg
 
kikawaida huku kwetu hua tuna desturu ya kuandaa ile siku ya mwandamo wa mwezi sasa mimi sina moja nipo nipo ndio naomba Mungu usiandame leo sina mood ya kuandaa
Pole kila raheri yatawezekana na tutaufinya tu
 
Back
Top Bottom