Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Njaa mchezo????Hapo ndiyo nachoka kabisaaaa!
Ule "Mwezi" wa kufunga, watu hawahangaiki kuutafuta! Ila huu wa kufungua, unatafutwa hata kwa darubini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa mchezo????Hapo ndiyo nachoka kabisaaaa!
Ule "Mwezi" wa kufunga, watu hawahangaiki kuutafuta! Ila huu wa kufungua, unatafutwa hata kwa darubini!
Sio kweliHapo ndiyo nachoka kabisaaaa!
Ule "Mwezi" wa kufunga, watu hawahangaiki kuutafuta! Ila huu wa kufungua, unatafutwa hata kwa darubini!
Why madame?nisivyotaka uandame leo Mungu nisaidie
Karibu kwa Mrombooo bwanshee tupige mnyama.Hujui usemalo, katika Uislam mwezi una siku 29 au 30 tu. Hakuna mwezi wenye siku 28 au 31, ndio Quran inasema hivyo, ukifatilia kisayansi utaona ni kweli, Sasa ukitaka watu wasifuate mwandamo wa mwezi ili wakosee. Hii sikukuu sio ya kujipangia, lazima ufuate mwandamo wa mwezi
Haaaa jamani wewe umefunga vyungu vingapi?[emoji16]nisivyotaka uandame leo Mungu nisaidie
sjapanga kuandaa leo, yan had mudahuu hakuna kitu nimeandaa halaf hata presha sina nawaza hapa ukiandama itakuaje sjuiWhy madame?
24Haaaa jamani wewe umefunga vyungu vingapi?[emoji16]
Sheria ya dini yetu haimpi mamlaka Mufti kutangaza mwezi kazi ya kutangaza mwezi ni kazi ya kadhiofficially mufti mkuu wa tanzania atatangaza muandamo wa mwezi. Tusubiri kuanzia jioni hii
Kwanini mkuunisivyotaka uandame leo Mungu nisaidie
Ukweli mchungu.Hata ukionekana ,haitasaidia kitu,ni mpaka Ile jumuia ya CCM ya Bakwata iseme sherehekeeni ndiyo watu wale ubwabwa
Kuna mwaka sheikh mkuu alienda kula Eid Mombasa halafu huku bongo bado wamefunga[emoji3]Bongo vp. Ila Quran inasema, mwezi ukionekana mfungue, Sasa haijaeleza ukionekana wapi, wanazuoni mtupe elimu
Siku nyingine zipo wapi au utafidia ?
kikawaida huku kwetu hua tuna desturu ya kuandaa ile siku ya mwandamo wa mwezi sasa mimi sina moja nipo nipo ndio naomba Mungu usiandame leo sina mood ya kuandaaKwanini mkuu
mwanamke anakua ktk ada sio rahisi kufunga zote labda awe amefikisha menopause, yes nitafidia inshallahSiku nyingine zipo wapi au utafidia ?
Amini unachokiamini lakini usidharau imani ya wengine@Sikukuu zisizokua na mbele wala nyuma hizi..
Pole kila raheri yatawezekana na tutaufinya tukikawaida huku kwetu hua tuna desturu ya kuandaa ile siku ya mwandamo wa mwezi sasa mimi sina moja nipo nipo ndio naomba Mungu usiandame leo sina mood ya kuandaa
Hongera sana kwakujipanga kufidiamwanamke anakua ktk ada sio rahisi kufunga zote labda awe amefikisha menopause, yes nitafidia inshallah