Mkuu hebu naomba fafanua kidogo kwenye hii issue ya barua ya udhamini, Kuna dogo nilimwombea mkopa, O'level na A'level kasomea private, Allocation status ina display tangazo la ku appeal tukyagata Ebu jaribu tembelea SIPA yako Kama Ni Appeal Angalia shule alizosoma Kama Ni Private mtafutie Barua za udhamini hata kwa ku-force Maisha ya chuo bila mkopo Ni Magumu Sana trust me.
Sawa mkuu..ni kweli dogo mwanzo mwisho kapiga St Mary's mazinde juu.sasa hiyo barua inakua ni ya kuonyesha kuwa alikua na sponsorship kule mazinde au inakuaje format yake mkuu?kyagata Ebu jaribu tembelea SIPA yako Kama Ni Appeal Angalia shule alizosoma Kama Ni Private mtafutie Barua za udhamini hata kwa ku-force Maisha ya chuo bila mkopo Ni Magumu Sana trust me.
Dah..bongo kusoma private ni kama dhambi flani hivi,maana sio kwa ubaguzi huu.Mkuu hebu naomba fafanua kidogo kwenye hii issue ya barua ya udhamini, Kuna dogo nilimwombea mkopa, O'level na A'level kasomea private, Allocation status ina display tangazo la ku appeal tu
View attachment 2415614
Sawa mkuu..ni kweli dogo mwanzo mwisho kapiga St Mary's mazinde juu.sasa hiyo barua inakua ni ya kuonyesha kuwa alikua na sponsorship kule mazinde au inakuaje format yake mkuu?
Nina jamaa yangu anafanya kwenye NGO flani.nataka nimuombe anitengenezee barua aichape muhuri wa office kuonyesha kwamba shirika lao lilikua linamsomesha dogo.hapo vipi mkuu?View attachment 2415640
Hapa step number moja nenda katika shule aliyosoma Waambie wakuandikie barua kuwa huyo dogo kasomeshwa kwa udhamini .
Lengo hasa Ni kuhakikisha hiyo barua ina muhuri wa shule na Hiko signed either na Mwalimu Mkuu au msaidizi wake au Academic
Ukienda pale shule hawawezi shindwa kukusaidia kukupa ushirikiano , ingawa wanaona wazi situation unayoipitia so Jaribu kuzingatia hayo mambo kazaa .before deadline then Una -Ambatanisha katika maombi yake ya ku-Appeal Fanya Mkuu
Pia unaweza kusoma hiyo screen shot hapo
Cc Mgwebe
Hapo uhakika 100%Nina jamaa yangu anafanya kwenye NGO flani.nataka nimuombe anitengenezee barua aichape muhuri wa office kuonyesha kwamba shirika lao lilikua linamsomesha dogo.hapo vipi mkuu?
Hapo uhakika 100%
Muhuri hakikisha unaonekanaNina jamaa yangu anafanya kwenye NGO flani.nataka nimuombe anitengenezee barua aichape muhuri wa office kuonyesha kwamba shirika lao lilikua linamsomesha dogo.hapo vipi mkuu?
Sawa mkuu,ngoja tujaribuMuhuri hakikisha unaonekana
AiseeYess[emoji16]
Kwa navyojua taarifa zinzohitajika ni za baba na mama tu!WanaJF hivi mtu anataka kukata rufaa na ana kadi ya Bibi yake ya tasaf lakini mwanzo hakuambatanisha hii kwenye appeal stage inawezekana kuiattach????au wanataka taarifa ziwe sawa na za mwanzo??muongozo wenu tafadhali
Weka tu ondoa shaka watu wameweka mpk za majirani zao na bado wamepata hawajatatizwaWanaJF hivi mtu anataka kukata rufaa na ana kadi ya Bibi yake ya tasaf lakini mwanzo hakuambatanisha hii kwenye appeal stage inawezekana kuiattach????au wanataka taarifa ziwe sawa na za mwanzo??muongozo wenu tafadhali
Mkuu,tumepiganisha leo siku nzima,tumefanikiwa kuappeal..sasa sijui huwa kuna nini kinaendelea after kusubmit hiyo form.Hapo uhakika 100%
Hapo nikusubiri majibu Mkuu Kama ume-Attach barua ya udhamini atapata.Mkuu,tumepiganisha leo siku nzima,tumefanikiwa kuappeal..sasa sijui huwa kuna nini kinaendelea after kusubmit hiyo form.
Nimeweka takataka nyingi tu mkuu mpaka admission letter kuonyesha anasoma kozi zenye kipaumbeleHapo nikusubiri majibu Mkuu Kama ume-Attach barua ya udhamini atapata.
Sasa hapo ni barua ya udhamini tu? Vipi uki appeal na cheti cha kifo cha mzazi mmoja?Hapo nikusubiri majibu Mkuu Kama ume-Attach barua ya udhamini atapata.
The same mainly Awe BabaSasa hapo ni barua ya udhamini tu? Vipi uki appeal na cheti cha kifo cha mzazi mmoja?