Aliyepata update yoyote akaunti ya HESLB

Watu wengi wanasema hazifunguki sijui kunani ?
 
Amini kua,ss tuliopo kazin tunaelew
Mkuu kesi yangu ni kuwa nilituma form og board bila kuscan form namba 2 na 5 ili niziaploaad mtandaoni .....nimekuja kushtuka Juz naangalia acc nakuta maombi hayajafika so nikascan na kutuma hizo form application imekamilika ila haijawa verifaid hapo inakuwaje ???
 
Mungu atatenda mkuu
 
Bora nyie hazifunguki, yng inafunguka fasta but 27oct ipo vile vile, labda zisizo-fanguka ndio hafanyiwa kazi.[emoji848]
Bora wewe ipo tarehe hiyo hiyo 27πŸ˜‚πŸ˜‚ wengine ndo tushapelekwa mbele kama ivoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ inasikitisha sana
 

Attachments

  • Screenshot_2022-10-27-20-57-36.png
    85.5 KB · Views: 25
Bodi wanafeli sans. Wengine vyuo tayari...na hela za kuanzia hatuna
 
Wanazingua sana, vyuo vimefunguliwa tarehe 24 n watu mpaka sas hawajajisali na hawajui hatima yao
 
Watazipitia Hilo halina shida ,ila chamsingi uende ofisini ufatilie kwa barua
 
Hii ngumu sana sidhani kama watalishughulikia wakati huu wakati watu wengi wamekamilisha kila kitu na bado wapo bali tete,labda ujaribu wakati wa rufaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…