Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Narudia kusema siasa sio mpira wa miguu na hivyo hutuhitaji kushabikia kama Simba na Yanga
Siasa inagusa Maisha ya watu Moja Kwa Moja
Siasa inahitaji watu serious na wenye misimimamo ya kweli sio kuingiza igiza TU ilomradi Maisha yaendelee na KUPATA vyeo
Hivyo hata ukificha ficha Kuna siku utaumbula TU kwenye siasa na watu watajua haikuwa seriously na Maisha ya wananchi