Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
human being are political animals,Narudia kusema siasa sio mpira wa miguu na hivyo hutuhitaji kushabikia kama simba na Yanga
Siasa inagusa Maisha ya watu Moja Kwa Moja
Siasa inahitaji watu seriously na wenye misimimamo ya kweli sio kuingiza igiza TU ilomradi Maisha yaendelee na KUPATA vyeo
Hivyo hata ukificha ficha Kuna siku utaumbula TU kwenye siasa na watu watajua haikuwa seriously na Maisha ya wananchi
Inategemea na aina ya siasahuman being are political animals,
na kwahivyo unapaswa kujua kwamba maisha ya mwanadamu ni pure politics π
hizo ni dhana tu, tena zisizo na athari zozote zile, miongoni mwa wanaofanya siasa.Inategemea na aina ya siasa
Kuna siasa safi
Na maji taka unazungumzia ipi
Ushahidi wa mbinguni na duniani juu ya ugaidi wa RwakatareNarudia kusema siasa sio mpira wa miguuwa na hivyo hutuhitaji kushabikia kama simba na Yanga