PreGE2025 Aliyepinga Samia na Nchimbi kupitishwa kama wagombea Urais CCM, apeleka shauri lake mahakamani kupinga ukiukwaji wa Katiba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Walio karibu wamwambie mama huyu jamaa ni mtego kwake!

Asije akakurupuka,ni kweli pale Dodoma ulitumia kofia mbili kujipitisha na sisi tumeamua kukuunga mkono hivyo hivyo kama wenye dhamana wakiamua kukaa kimya kukuhusu na sisi tutakuunga mkono kama wao wakikaa kimya kukuhusu!!

Iwapo hutokua smart kwenye ku deal na wanachama kama hawa basi watatumia kama kigezo Cha ku disqualify mchakato mzima!!
 
1. Mkutano mkuu wa CCM ni wa kikatiba na kikanuni na kufanyika kwake ni baada ya maandalizi ya kufanyika kwake kukamilika na ufadhili au udhamini wa mkutano mkuu unafanywa na Chama. Mkutano mkuu ndio kikao chenye mamlaka ya kuchagua wagombea wa juu wa Chama au wagombea nafasi ya Urais hivyo kikao kilichofanya uteuzi ni rasmi na uteuzi wao ni halali kikatiba na kikanuni.

2. Mkutano mkuu ndio wenye mamlaka ya kumchagua makamu Mwenyekiti baada ya jina lake kupendekezwa na Mwenyekiti na kupitishwa na halmashauri kuu. Je, ni kweli halmashauri kuu ya CCM haikumpitisha makamu wa sasa?

3. Mkutano mkuu hauna wa mamlaka ya kumjadili mgombea Urais kwa kadiri ninavyojua ila KAZI yake ni kufanya uchaguzi wa mgombea na KAZI hiyo ndio iliyofanyika. Kitendo Cha mjumbe kutaka mgombea ajadiliwe na mkutano mkuu ni kinyume na utaratibu.

4. Hakuna utaratibu uliokiukwa ila umetumika utaratibu uliokuwa hautumiki lakini uliopo ndani ya taratibu zilizopo. Utaratibu wa uchaguzi umefanywa na mkutano halali, wenye wajumbe halali, na akidi halali ya wajumbe.

Nawasilisha
 
Nazan vijn wako wapi ku argu , mzee kama huyu muda wake wakujeng Taifa umekwisha
 
Kesi inaweza kuendeshwa lakini hukumu yake itatolewa baada ya uchaguzi wa kufoji 2025!
 
Kumekucha.
Hatashinda, kesi itatupwa mbali lakini Watanzania watakuwa wamegunguliwa macho kwa % kadhaa

Ni yule mwanachama toka Kilimanjaro ambaye mara baada ya kuhoji na kupinga utaratibu uliowapitisha Bi Samia Suluhu Hassan na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa wagombea uchaguzi, haraka katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro alitangaza kufukuzwa uanachama...

Maswali anayouliza hapa:

1. Ni kina nani waliufadhiri na kuudhamini mkutano mkuu ule wa Dodoma wa tarehe 19/01/2024 uliowapitisha hawa kuwa wagombea Urais wa CCM...?

2. Ni kwanini jina Makamu Mwenyekiti ambalo tayari lilishapitia kwenye mchakato wote ghafla liliondolewa na kupitishwa Steven Wassira...?

3. Kama mamlaka na maamuzi ya kuteua mgombea u - Rais na mgombea mwenza wake yako mikononi mwa wanachama kupitia vikao vya chama, ni kwanini aliyependekezwa kuwa mgombea u - Rais (Bi. Samia Suluhu Hassan) ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama taifa alikataa kutoka na kuwapisha wajumbe kumjadili pale alipotakiwa afanye hivyo sawasawa na utaratibu unavyotaka..?

4. Anamalizia maswali yake kwa kuuliza: Kama hiki chama hakijatekwa na watu wachache ambao huamua nani awe nani, ni kwanini kuna ukiukwaji wa taratibu kwa kiwango hiki..?
Kesi ya ngedere kupelekwa kwa nyani, haki haiwezi kupatikana.
 
Huyo mzee anaweweseka sana na hataki kutulia katika hoja....wanaCCM kupitia mkutano mkuu wameamua kupitisha hayo majina mawili.....

Ninashangaa anafeli kufikiri vipi ?!!

Katumwa si bure.....anatumika kukichafua CCM hasa anapodanganya eti mwenyekiti alikataa kutoka nje ili ajadiliwe....huu ni uongo wa kiwango cha "SGR"....

Wanaomtumia wangemuongezea watu "smart" zaidi yake.....
 
Sitoshangaa kusikia mwili wake umeokotwa kwenye kichaka fulani.
 
Ni yule mwanachama toka Kilimanjaro ambaye mara baada ya kuhoji na kupinga utaratibu uliowapitisha Bi Samia Suluhu Hassan na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa wagombea uchaguzi, haraka katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro alitangaza kufukuzwa uanachama...

Maswali anayouliza hapa:

1. Ni kina nani waliufadhiri na kuudhamini mkutano mkuu ule wa Dodoma wa tarehe 19/01/2024 uliowapitisha hawa kuwa wagombea Urais wa CCM...?

2. Ni kwanini jina Makamu Mwenyekiti ambalo tayari lilishapitia kwenye mchakato wote ghafla liliondolewa na kupitishwa Steven Wassira...?

3. Kama mamlaka na maamuzi ya kuteua mgombea u - Rais na mgombea mwenza wake yako mikononi mwa wanachama kupitia vikao vya chama, ni kwanini aliyependekezwa kuwa mgombea u - Rais (Bi. Samia Suluhu Hassan) ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama taifa alikataa kutoka na kuwapisha wajumbe kumjadili pale alipotakiwa afanye hivyo sawasawa na utaratibu unavyotaka..?

4. Anamalizia maswali yake kwa kuuliza: Kama hiki chama hakijatekwa na watu wachache ambao huamua nani awe nani, ni kwanini kuna ukiukwaji wa taratibu kwa kiwango hiki..?
Jamaa kachoka kula ugali
 
Kumekucha.
Hatashinda, kesi itatupwa mbali lakini Watanzania watakuwa wamegunguliwa macho kwa % kadhaa
Katangulizwa tu huyu, ila nyuma yake usushangae kukuta hata kina Lucas Mwashambwa au Tlaatlaah wamo

Huko CCM unafiki na usaliti ni mkubwa mno. Usione wanachekeana mchana, usiku kila mmoja hukimbilia kwa shetani wake wa kumsaidia
 
Hadithi
Hadithi

Hapo zamani ya kale
Palitokea
Rais
Rais wa NCHI
Nchi ya Wagagagagigikoko
Rais huyo alijulikana km Chura Kiziwi

Basi Nchi ya Wagagagagigikoko ikapata mkutano wa Chama ukiudhuliwa na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Maboga chini ya Mwenyekiti Chura Kiziwi

Basi Chura anarukaruka
Chura anarukaruka
Akagomea kutoka ili wamjadiri kwenye kikao
Chura anarukaruka akasema "km mnataka kutuchapa basi na mtuchapee hapahapa ila hapa hatoki mtu na hatutaki kujadiriwa"
Chura anarukaruka
Waajumbe wakaufyata mkia wakimuogopa Chura Kiziwi

Hadithi yangu imeishia hapo.
Haa haa😀😀😀

Hata mimi mpaka sasa najiuliza, kwanini Chura Kiziwi hakutaka kutoka?

MamaSamia2025 hebu tujuze, kwanini hukutaka kutoka?

Unalazimisha kuwa mgombea hata kama hatukutaki?

Tujibu wana CCM wenzako haraka kabla hatujanyanyua fimbo zetu kukuadabisha
 
Kumekucha.
Hatashinda, kesi itatupwa mbali lakini Watanzania watakuwa wamegunguliwa macho kwa % kadhaa
Tulia bro..

Hujui nini kinaendelea ndani ya CCM na serikali kwa sasa...

Kuna kambi mbili kwa sasa humo. Zote ni so powerful....

Tunasema hivi, yajayo yanafurahisha bro....!

Kaa mkao wa kuiona Tanganyika ikirudi toka kuleeeeeeeee ilikofichwa...
 
Katangulizwa tu huyu, ila nyuma yake usushangae kukuta hata kina Lucas Mwashambwa au Tlaatlaah wamo

Huko CCM unafiki na usaliti ni mkubwa mno. Usione wanachekeana mchana, usiku kila mmoja hukimbilia kwa shetani wake wa kumsaidia
🤔🤔

Hivyo tena? Inawezekana hawa jamaa wako kotekote wakiuma huku na kwenda kupuliza kule😁😁😁
 
Back
Top Bottom