Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
CCM watamuua chapBahati mbaya hahami yupo kuwakera tu ccm hadi mkerekeš
CCM watamuua chapBahati mbaya hahami yupo kuwakera tu ccm hadi mkerekeš
Yaani,Katangulizwa tu huyu, ila nyuma yake usushangae kukuta hata kina Lucas Mwashambwa au Tlaatlaah wamo
Huko CCM unafiki na usaliti ni mkubwa mno. Usione wanachekeana mchana, usiku kila mmoja hukimbilia kwa shetani wake wa kumsaidia
yaani CCM ibabaike na mgombea urais wa chama cha cck ambae ana historia ya tatizo la afya ya akili, surely?
Ni yule mwanachama toka Kilimanjaro ambaye mara baada ya kuhoji na kupinga utaratibu uliowapitisha Bi Samia Suluhu Hassan na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa wagombea u - Rais, haraka katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro naye bila hata kufuata utaratibu akapokea "maagizo toka juu" atangaze kuwa mzee huyu kafukuzwa uanachama...!!!
Maswali anayouliza hapa:
1. Ni kina nani waliufadhiri na kuudhamini mkutano mkuu ule wa Dodoma wa tarehe 19/01/2024 uliowapitisha hawa kuwa wagombea Urais wa CCM...?
2. Ni kwanini jina Makamu Mwenyekiti ambalo tayari lilishapitia kwenye mchakato wote ghafla liliondolewa na kupitishwa Steven Wassira...?
3. Kama mamlaka na maamuzi ya kuteua mgombea u - Rais na mgombea mwenza wake yako mikononi mwa wanachama kupitia vikao vya chama, ni kwanini aliyependekezwa kuwa mgombea u - Rais (Bi. Samia Suluhu Hassan) ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama taifa alikataa kutoka na kuwapisha wajumbe kumjadili pale alipotakiwa afanye hivyo sawasawa na utaratibu unavyotaka..?
4. Anamalizia maswali yake kwa kuuliza: Kama hiki chama hakijatekwa na watu wachache ambao huamua nani awe nani, ni kwanini kuna ukiukwaji wa taratibu kwa kiwango hiki..?
Mwenyekiti aligoma kutoka nje,acha kutufanya wajinga kama wewe,nenda kacheki upya mkutano mkuu,kama hukuwepo dodoma au ulisinzia au ulienda chooni kuhara.Huyo mzee anaweweseka sana na hataki kutulia katika hoja....wanaCCM kupitia mkutano mkuu wameamua kupitisha hayo majina mawili.....
Ninashangaa anafeli kufikiri vipi ?!!
Katumwa si bure.....anatumika kukichafua CCM hasa anapodanganya eti mwenyekiti alikataa kutoka nje ili ajadiliwe....huu ni uongo wa kiwango cha "SGR"....
Wanaomtumia wangemuongezea watu "smart" zaidi yake.....
Ndiyo maana alikuwa anatumia maneno "tuna", "watwambie", nakadhalika...Sote tuko nyuma yake n....
Mkuu, kwa muda wote huo bado hiyo Tanganyika yako itakuwa haijaoza kweli? Sijui, ngoja tuone IKITOKA.Tulia bro..
Hujui nini kinaendelea ndani ya CCM na serikali kwa sasa...
Kuna kambi mbili kwa sasa humo. Zote ni so powerful....
Tunasema hivi, yajayo yanafurahisha bro....!
Kaa mkao wa kuiona Tanganyika ikirudi toka kuleeeeeeeee ilikofichwa...
Mzee ana hoja ajibiwe, tulionya sana ,kilichofanyika ccm ni haibuyaani CCM ibabaike na mgombea urais wa chama cha cck ambae ana historia ya tatizo la afya ya akili, surely?
kwa huruma na kujali utu wa kila mwanadamu, CCM haitasita kumsaidia na hatimae atakaa sawa na kuendelea vyema na harakati za kisiasa. Ugumu wa maisha ni kitu mbaya sana ndrugu zango š
Huyo bila shaka atakuwa kijani mwenye utambuzi akiyeukataa uchawa, kama ule wa mitano mingine.
Ni yule mwanachama toka Kilimanjaro ambaye mara baada ya kuhoji na kupinga utaratibu uliowapitisha Bi Samia Suluhu Hassan na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa wagombea u - Rais, haraka katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro naye bila hata kufuata utaratibu akapokea "maagizo toka juu" atangaze kuwa mzee huyu kafukuzwa uanachama...!!!
Maswali anayouliza hapa:
1. Ni kina nani waliufadhiri na kuudhamini mkutano mkuu ule wa Dodoma wa tarehe 19/01/2024 uliowapitisha hawa kuwa wagombea Urais wa CCM...?
2. Ni kwanini jina Makamu Mwenyekiti ambalo tayari lilishapitia kwenye mchakato wote ghafla liliondolewa na kupitishwa Steven Wassira...?
3. Kama mamlaka na maamuzi ya kuteua mgombea u - Rais na mgombea mwenza wake yako mikononi mwa wanachama kupitia vikao vya chama, ni kwanini aliyependekezwa kuwa mgombea u - Rais (Bi. Samia Suluhu Hassan) ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama taifa alikataa kutoka na kuwapisha wajumbe kumjadili pale alipotakiwa afanye hivyo sawasawa na utaratibu unavyotaka..?
4. Anamalizia maswali yake kwa kuuliza: Kama hiki chama hakijatekwa na watu wachache ambao huamua nani awe nani, ni kwanini kuna ukiukwaji wa taratibu kwa kiwango hiki..?
Ha haaHadithi
Hadithi
Hapo zamani ya kale
Palitokea
Rais
Rais wa NCHI
Nchi ya Wagagagagigikoko
Rais huyo alijulikana km Chura Kiziwi
Basi Nchi ya Wagagagagigikoko ikapata mkutano wa Chama ukiudhuliwa na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Maboga chini ya Mwenyekiti Chura Kiziwi
Basi Chura anarukaruka
Chura anarukaruka
Akagomea kutoka ili wamjadiri kwenye kikao
Chura anarukaruka akasema "km mnataka kutuchapa basi na mtuchapee hapahapa ila hapa hatoki mtu na hatutaki kujadiriwa"
Chura anarukaruka
Waajumbe wakaufyata mkia wakimuogopa Chura Kiziwi
Hadithi yangu imeishia hapo.
Yawezekana ni kweli watu wamemtumaKatangulizwa tu huyu, ila nyuma yake usushangae kukuta hata kina Lucas Mwashambwa au Tlaatlaah wamo
Huko CCM unafiki na usaliti ni mkubwa mno. Usione wanachekeana mchana, usiku kila mmoja hukimbilia kwa shetani wake wa kumsaidia
no gentleman plz,Mzee ana hoja ajibiwe, tulionya sana ,kilichofanyika ccm ni haibu
no gentleman plz,
ana matatizo ya kibinafsi ya kihistoria, atasadiwa tu kwanza kijamii ili akae sawa, kisheria na kiuchumi angalau apunguze fedheha anazopitia maishani kama mtu mzima š
alhamndulilah š¹