RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Aisee nani karopoka mimi au wewe? Au Bulicheka na Safari ya Bulicheka?Uhuru sana wa kuropoka
Kumekucha.
Hatashinda, kesi itatupwa mbali lakini Watanzania watakuwa wamegunguliwa macho kwa % kadhaa
Kesi ya ngedere kupelekwa kwa nyani, haki haiwezi kupatikana.
Ni yule mwanachama toka Kilimanjaro ambaye mara baada ya kuhoji na kupinga utaratibu uliowapitisha Bi Samia Suluhu Hassan na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa wagombea uchaguzi, haraka katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro alitangaza kufukuzwa uanachama...
Maswali anayouliza hapa:
1. Ni kina nani waliufadhiri na kuudhamini mkutano mkuu ule wa Dodoma wa tarehe 19/01/2024 uliowapitisha hawa kuwa wagombea Urais wa CCM...?
2. Ni kwanini jina Makamu Mwenyekiti ambalo tayari lilishapitia kwenye mchakato wote ghafla liliondolewa na kupitishwa Steven Wassira...?
3. Kama mamlaka na maamuzi ya kuteua mgombea u - Rais na mgombea mwenza wake yako mikononi mwa wanachama kupitia vikao vya chama, ni kwanini aliyependekezwa kuwa mgombea u - Rais (Bi. Samia Suluhu Hassan) ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama taifa alikataa kutoka na kuwapisha wajumbe kumjadili pale alipotakiwa afanye hivyo sawasawa na utaratibu unavyotaka..?
4. Anamalizia maswali yake kwa kuuliza: Kama hiki chama hakijatekwa na watu wachache ambao huamua nani awe nani, ni kwanini kuna ukiukwaji wa taratibu kwa kiwango hiki..?
Kivipi au umependa tu kumtukana?Bwege Kweli Huyu
sisemi kituHuyo mzee anaweweseka sana na hataki kutulia katika hoja....wanaCCM kupitia mkutano mkuu wameamua kupitisha hayo majina mawili.....
Ni yule mwanachama toka Kilimanjaro ambaye mara baada ya kuhoji na kupinga utaratibu uliowapitisha Bi Samia Suluhu Hassan na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa wagombea uchaguzi, haraka katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro alitangaza kufukuzwa uanachama...
Maswali anayouliza hapa:
1. Ni kina nani waliufadhiri na kuudhamini mkutano mkuu ule wa Dodoma wa tarehe 19/01/2024 uliowapitisha hawa kuwa wagombea Urais wa CCM...?
2. Ni kwanini jina Makamu Mwenyekiti ambalo tayari lilishapitia kwenye mchakato wote ghafla liliondolewa na kupitishwa Steven Wassira...?
3. Kama mamlaka na maamuzi ya kuteua mgombea u - Rais na mgombea mwenza wake yako mikononi mwa wanachama kupitia vikao vya chama, ni kwanini aliyependekezwa kuwa mgombea u - Rais (Bi. Samia Suluhu Hassan) ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama taifa alikataa kutoka na kuwapisha wajumbe kumjadili pale alipotakiwa afanye hivyo sawasawa na utaratibu unavyotaka..?
4. Anamalizia maswali yake kwa kuuliza: Kama hiki chama hakijatekwa na watu wachache ambao huamua nani awe nani, ni kwanini kuna ukiukwaji wa taratibu kwa kiwango hiki..?
Jamaa kachoka kula ugali

Chama Cha mapinduzi anachotaka kimpe majibu ya maswali yake ni pamoja na yeye. Kichwa kikubwa tu. Bure kabisaBwege Kweli Huyu
Katangulizwa tu huyu, ila nyuma yake usushangae kukuta hata kina Lucas Mwashambwa au Tlaatlaah wamoKumekucha.
Hatashinda, kesi itatupwa mbali lakini Watanzania watakuwa wamegunguliwa macho kwa % kadhaa
Haa haaπππHadithi
Hadithi
Hapo zamani ya kale
Palitokea
Rais
Rais wa NCHI
Nchi ya Wagagagagigikoko
Rais huyo alijulikana km Chura Kiziwi
Basi Nchi ya Wagagagagigikoko ikapata mkutano wa Chama ukiudhuliwa na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Maboga chini ya Mwenyekiti Chura Kiziwi
Basi Chura anarukaruka
Chura anarukaruka
Akagomea kutoka ili wamjadiri kwenye kikao
Chura anarukaruka akasema "km mnataka kutuchapa basi na mtuchapee hapahapa ila hapa hatoki mtu na hatutaki kujadiriwa"
Chura anarukaruka
Waajumbe wakaufyata mkia wakimuogopa Chura Kiziwi
Hadithi yangu imeishia hapo.
Tulia bro..Kumekucha.
Hatashinda, kesi itatupwa mbali lakini Watanzania watakuwa wamegunguliwa macho kwa % kadhaa
π€π€Katangulizwa tu huyu, ila nyuma yake usushangae kukuta hata kina Lucas Mwashambwa au Tlaatlaah wamo
Huko CCM unafiki na usaliti ni mkubwa mno. Usione wanachekeana mchana, usiku kila mmoja hukimbilia kwa shetani wake wa kumsaidia