Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Wakubwa popote mlipo hoja zijibiwe kwa hoja siyo vijembe na vitisho
Ni yule mwanachama toka Kilimanjaro ambaye mara baada ya kuhoji na kupinga utaratibu uliowapitisha Bi Samia Suluhu Hassan na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa wagombea u - Rais, haraka katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro naye bila hata kufuata utaratibu akapokea "maagizo toka juu" atangaze kuwa mzee huyu kafukuzwa uanachama...!!!
Maswali anayouliza hapa:
1. Ni kina nani waliufadhiri na kuudhamini mkutano mkuu ule wa Dodoma wa tarehe 19/01/2024 uliowapitisha hawa kuwa wagombea Urais wa CCM...?
2. Ni kwanini jina Makamu Mwenyekiti ambalo tayari lilishapitia kwenye mchakato wote ghafla liliondolewa na kupitishwa Steven Wassira...?
3. Kama mamlaka na maamuzi ya kuteua mgombea u - Rais na mgombea mwenza wake yako mikononi mwa wanachama kupitia vikao vya chama, ni kwanini aliyependekezwa kuwa mgombea u - Rais (Bi. Samia Suluhu Hassan) ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama taifa alikataa kutoka na kuwapisha wajumbe kumjadili pale alipotakiwa afanye hivyo sawasawa na utaratibu unavyotaka..?
4. Anamalizia maswali yake kwa kuuliza: Kama hiki chama hakijatekwa na watu wachache ambao huamua nani awe nani, ni kwanini kuna ukiukwaji wa taratibu kwa kiwango hiki..?
TOKA MAKTABA:
6 September 2023
Mahakama Kuu inaweza kutumia hukumu ya wabunge 19 kuwa mchakato haukuwa huru na wa haki
Komu: Wabunge 19 walitakiwa kufika baraza kuu
β Katika shauri hilo, wabunge hao wanaiomba mahakama itengue mchakato na uamuzi wa....
View attachment 3272978
Wakili msomi Kilatu: moja ya malalamiko ni kwamba John Mnyika na Freeman Mbowe kuingia katika kwenye kikao cha kamati kuu na wakati walipoenda kukata rufaa wakawakuta hao hao kwenye Baraza kuu hivyo ni kinyume cha sheria na kanuni ya chama chenu, wew unasemaje?
Kajitoa kwa Niaba ya Watanzania.Wasije mteka na kumpoteza
Why!?Mzee Ali Kibao mwingine huyu.
Nilikuwepo ukumbini pale na hakukuwa na hayo usemayo....acha kudanganya na kupotosha kisichokuwepo.....Mwenyekiti aligoma kutoka nje,acha kutufanya wajinga kama wewe,nenda kacheki upya mkutano mkuu,kama hukuwepo dodoma au ulisinzia au ulienda chooni kuhara.
Ila hoja ilitolewa na kibajaji akagomea wajumbe tena wa mkutano mkuu.
Ccm imegeuka kuwa genge la wahuni
Si kweli....mnapotosha ukweli wa kilichotokea pale mkutanoni kwa faida ya nani !!!Mungu amsimamie huyu baba. Sote tuko nyuma yake na malaika wa mbinguni wamemzunguka.
Samia amebaka demokrasia ndani ya ccm na nchi kwa ujumla.
....si mtu makini....anajulikana hivyo.....Huyu jamaa historia yake amekuwa mtu wa kuhama hama vyama vya siasa ... Aondoke tu CCM... Wana CCM tumeridhika na mama..
Hadithi hii inatufundisha nini?Hadithi
Hadithi
Hapo zamani ya kale
Palitokea
Rais
Rais wa NCHI
Nchi ya Wagagagagigikoko
Rais huyo alijulikana km Chura Kiziwi
Basi Nchi ya Wagagagagigikoko ikapata mkutano wa Chama ukiudhuliwa na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Maboga chini ya Mwenyekiti Chura Kiziwi
Basi Chura anarukaruka
Chura anarukaruka
Akagomea kutoka ili wamjadiri kwenye kikao
Chura anarukaruka akasema "km mnataka kutuchapa basi na mtuchapee hapahapa ila hapa hatoki mtu na hatutaki kujadiriwa"
Chura anarukaruka
Waajumbe wakaufyata mkia wakimuogopa Chura Kiziwi
Hadithi yangu imeishia hapo.
Aisee π€π€π€Hadithi
Hadithi
Hapo zamani ya kale
Palitokea
Rais
Rais wa NCHI
Nchi ya Wagagagagigikoko
Rais huyo alijulikana km Chura Kiziwi
Basi Nchi ya Wagagagagigikoko ikapata mkutano wa Chama ukiudhuliwa na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Maboga chini ya Mwenyekiti Chura Kiziwi
Basi Chura anarukaruka
Chura anarukaruka
Akagomea kutoka ili wamjadiri kwenye kikao
Chura anarukaruka akasema "km mnataka kutuchapa basi na mtuchapee hapahapa ila hapa hatoki mtu na hatutaki kujadiriwa"
Chura anarukaruka
Waajumbe wakaufyata mkia wakimuogopa Chura Kiziwi
Hadithi yangu imeishia hapo.
Hawatamuua...Huyu ndugu zake waandae matanga tu siku si nyingi atauwawa, kwa mbaaali namuona afande Mafwele akipiga jaramba kumnyofoa roho yake.