The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
- Thread starter
-
- #81
Anatetea haki ya kila mwanachama wa CCM kugombea nafasi za uongozi ikiwemo ya u - Rais...Huyo mzee anaweweseka sana na hataki kutulia katika hoja....wanaCCM kupitia mkutano mkuu wameamua kupitisha hayo majina mawili.....
Ninashangaa anafeli kufikiri vipi ?!!
Katumwa si bure.....anatumika kukichafua CCM hasa anapodanganya eti mwenyekiti alikataa kutoka nje ili ajadiliwe....huu ni uongo wa kiwango cha "SGR"....
Wanaomtumia wangemuongezea watu "smart" zaidi yake.....
Upo darasa la ngapi?Mimi bado mnanichanganya. Hivi Makamu wa Rais ni Wassira au Nchimbi au Mpango?
Sio kila mkusanyiko wa watu unaweza kuita "mkutano mkuu wa chama..."1. Mkutano mkuu wa CCM ni wa kikatiba na kikanuni na kufanyika kwake ni baada ya maandalizi ya kufanyika kwake kukamilika na ufadhili au udhamini wa mkutano mkuu unafanywa na Chama. Mkutano mkuu ndio kikao chenye mamlaka ya kuchagua wagombea wa juu wa Chama au wagombea nafasi ya Urais hivyo kikao kilichofanya uteuzi ni rasmi na uteuzi wao ni halali kikatiba na kikanuni.
Mzee huyu na wengine hawana shida sana na agenda ya kupitisha jina la Vice Chairperson taifa. Hoja iliyopo hapa ni kukiukwa kwa utaratibu wa kuteua mgombea u - Rais na mgombea mwenza wake....2. Mkutano mkuu ndio wenye mamlaka ya kumchagua makamu Mwenyekiti baada ya jina lake kupendekezwa na Mwenyekiti na kupitishwa na halmashauri kuu. Je, ni kweli halmashauri kuu ya CCM haikumpitisha makamu wa sasa?
Kweli? Ila una mamlaka ya kusifia uteuzi tu..?3. Mkutano mkuu hauna wa mamlaka ya kumjadili mgombea Urais kwa kadiri ninavyojua ila KAZI yake ni kufanya uchaguzi wa mgombea na KAZI hiyo ndio iliyofanyika. Kitendo Cha mjumbe kutaka mgombea ajadiliwe na mkutano mkuu ni kinyume na utaratibu.
Utaratibu umekiukwa kwa 100%....4. Hakuna utaratibu uliokiukwa ila umetumika utaratibu uliokuwa hautumiki lakini uliopo ndani ya taratibu zilizopo. Utaratibu wa uchaguzi umefanywa na mkutano halali, wenye wajumbe halali, na akidi halali ya wajumbe.
Ndio maana nimesema utaratibu haujakiukwa ila ni kwamba miaka ya nyuma ulikuwa hautumiki.Sio kila mkusanyiko wa watu unaweza kuita "mkutano mkuu wa chama..."
Nyie mlikusanywa tu Dodoma kama magunia ya mahindi yanayopelekwa sokoni kuuzwa mkidhani kuna agenda moja tu kuu ya "kupitisha jina la Makamu M/kiti wa CCM - Tanganyika" lakini from nowhere mkashitukizwa na agenda ya kuteua mgombea u - Rais na mwenza wake...!
Mkabaki midomo wazi. Mlipojaribu kuhoji, mkaambiwa "shut up, tumewalipa posho ya 3,000, 000 kila mmoja" na cha ajabu, mteuliwa Bi Samia Suluhu Hassan na mwenza wake wakagoma kutoka nje ili kikao kiwajadili...!
Sasa hicho ndo unakiita kikao halali cha chama au mlikuwa mnapewa taarifa tu kibabe..?
Mzee ndo anauliza, huu ndio utaratibu gani? Mbona si wa kawaida na haupo kikatiba..?
Mzee huyu na wengine hawana shida sana na agenda ya kupitisha jina la Vice Chairperson taifa. Hoja iliyopo hapa ni kukiukwa kwa utaratibu wa kuteua mgombea u - Rais na mgombea mwenza wake....
Aidha, swali kwenye hii hoja linaloulizwa na mzee huyu ni, kwanini jina la mtu aliyepaswa kuwa Makamu Mwenyekiti lililojadiliwa na kulipitisha na vikao unavyovitaja hapa ghafla lilitupwa na kuletwa la ambaye hakujadiliwa yaani Steven Wassira...?
Unajua hili? Una majibu au na wewe utaishia kurusha vijembe tu na kusema "aende Rwanda akamhoji Kagame..?"
Kweli? Ila una mamlaka ya kusifia uteuzi tu..?
Wewe ni mwanachama halali kabisa wa CCM unayezijua taratibu? Unajua kuwa wagombea wa nafasi zozote ndani ya chama huwa ni lazima wachukue fomu na kujaza? Lini chama kilitangaza uchukuaji fomu kwa wagombea u - Rais? Bi Samia alichukua na kurejesha fomu hiyo..?
Utaratibu umekiukwa kwa 100%....
Ungekuwa haujakiukwa, basi kusingekuwa na malalamiko ya baadhi ya wanachama...
Haikuwa hivyo mwaka 1995, 2000, 2005, 2010, 2015 ndani ya CCM. Kwanini mwaka huu 2025 unadhani..?
Think carefully, you will understand why...
Naomba nijue full video you tube inapatikana kwa jina gani
Ni yule mwanachama toka Kilimanjaro ambaye mara baada ya kuhoji na kupinga utaratibu uliowapitisha Bi Samia Suluhu Hassan na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa wagombea u - Rais, haraka katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro naye bila hata kufuata utaratibu akapokea "maagizo toka juu" atangaze kuwa mzee huyu kafukuzwa uanachama...!!!
Maswali anayouliza hapa:
1. Ni kina nani waliufadhiri na kuudhamini mkutano mkuu ule wa Dodoma wa tarehe 19/01/2024 uliowapitisha hawa kuwa wagombea Urais wa CCM...?
2. Ni kwanini jina Makamu Mwenyekiti ambalo tayari lilishapitia kwenye mchakato wote ghafla liliondolewa na kupitishwa Steven Wassira...?
3. Kama mamlaka na maamuzi ya kuteua mgombea u - Rais na mgombea mwenza wake yako mikononi mwa wanachama kupitia vikao vya chama, ni kwanini aliyependekezwa kuwa mgombea u - Rais (Bi. Samia Suluhu Hassan) ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama taifa alikataa kutoka na kuwapisha wajumbe kumjadili pale alipotakiwa afanye hivyo sawasawa na utaratibu unavyotaka..?
4. Anamalizia maswali yake kwa kuuliza: Kama hiki chama hakijatekwa na watu wachache ambao huamua nani awe nani, ni kwanini kuna ukiukwaji wa taratibu kwa kiwango hiki..
Akili kubwa sana na hongera sana,Sio kila mkusanyiko wa watu unaweza kuita "mkutano mkuu wa chama..."
Nyie mlikusanywa tu Dodoma kama magunia ya mahindi yanayopelekwa sokoni kuuzwa mkidhani kuna agenda moja tu kuu ya "kupitisha jina la Makamu M/kiti wa CCM - Tanganyika" lakini from nowhere mkashitukizwa na agenda ya kuteua mgombea u - Rais na mwenza wake...!
Mkabaki midomo wazi. Mlipojaribu kuhoji, mkaambiwa "shut up, tumewalipa posho ya 3,000, 000 kila mmoja" na cha ajabu, mteuliwa Bi Samia Suluhu Hassan na mwenza wake wakagoma kutoka nje ili kikao kiwajadili...!
Sasa hicho ndo unakiita kikao halali cha chama au mlikuwa mnapewa taarifa tu kibabe..?
Mzee ndo anauliza, huu ndio utaratibu gani? Mbona si wa kawaida na haupo kikatiba..?
Mzee huyu na wengine hawana shida sana na agenda ya kupitisha jina la Vice Chairperson taifa. Hoja iliyopo hapa ni kukiukwa kwa utaratibu wa kuteua mgombea u - Rais na mgombea mwenza wake....
Aidha, swali kwenye hii hoja linaloulizwa na mzee huyu ni, kwanini jina la mtu aliyepaswa kuwa Makamu Mwenyekiti lililojadiliwa na kulipitisha na vikao unavyovitaja hapa ghafla lilitupwa na kuletwa la ambaye hakujadiliwa yaani Steven Wassira...?
Unajua hili? Una majibu au na wewe utaishia kurusha vijembe tu na kusema "aende Rwanda akamhoji Kagame..?"
Kweli? Ila una mamlaka ya kusifia uteuzi tu..?
Wewe ni mwanachama halali kabisa wa CCM unayezijua taratibu? Unajua kuwa wagombea wa nafasi zozote ndani ya chama huwa ni lazima wachukue fomu na kujaza? Lini chama kilitangaza uchukuaji fomu kwa wagombea u - Rais? Bi Samia alichukua na kurejesha fomu hiyo..?
Utaratibu umekiukwa kwa 100%....
Ungekuwa haujakiukwa, basi kusingekuwa na malalamiko ya baadhi ya wanachama...
Haikuwa hivyo mwaka 1995, 2000, 2005, 2010, 2015 ndani ya CCM. Kwanini mwaka huu 2025 unadhani..?
Think carefully, you will understand why...
Ipo haja ya kufikiri zaidi ya hapo kimantiki na kikatiba pia1. Mkutano mkuu wa CCM ni wa kikatiba na kikanuni na kufanyika kwake ni baada ya maandalizi ya kufanyika kwake kukamilika na ufadhili au udhamini wa mkutano mkuu unafanywa na Chama. Mkutano mkuu ndio kikao chenye mamlaka ya kuchagua wagombea wa juu wa Chama au wagombea nafasi ya Urais hivyo kikao kilichofanya uteuzi ni rasmi na uteuzi wao ni halali kikatiba na kikanuni.
2. Mkutano mkuu ndio wenye mamlaka ya kumchagua makamu Mwenyekiti baada ya jina lake kupendekezwa na Mwenyekiti na kupitishwa na halmashauri kuu. Je, ni kweli halmashauri kuu ya CCM haikumpitisha makamu wa sasa?
3. Mkutano mkuu hauna wa mamlaka ya kumjadili mgombea Urais kwa kadiri ninavyojua ila KAZI yake ni kufanya uchaguzi wa mgombea na KAZI hiyo ndio iliyofanyika. Kitendo Cha mjumbe kutaka mgombea ajadiliwe na mkutano mkuu ni kinyume na utaratibu.
4. Hakuna utaratibu uliokiukwa ila umetumika utaratibu uliokuwa hautumiki lakini uliopo ndani ya taratibu zilizopo. Utaratibu wa uchaguzi umefanywa na mkutano halali, wenye wajumbe halali, na akidi halali ya wajumbe.
Nawasilisha
Unaweza kuthibitisha kutoka kwenye katiba yenu kuwa utaratibu huwa ni huu uliotumika tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia na mwenza wake...?Ndio maana nimesema utaratibu haujakiukwa ila ni kwamba miaka ya nyuma ulikuwa hautumiki.
Habari njema tunasubiria tuone yajayoTulia bro..
Hujui nini kinaendelea ndani ya CCM na serikali kwa sasa...
Kuna kambi mbili kwa sasa humo. Zote ni so powerful....
Tunasema hivi, yajayo yanafurahisha bro....!
Kaa mkao wa kuiona Tanganyika ikirudi toka kuleeeeeeeee ilikofichwa...
Wakimuua huyu...
Ni yule mwanachama toka Kilimanjaro ambaye mara baada ya kuhoji na kupinga utaratibu uliowapitisha Bi Samia Suluhu Hassan na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa wagombea u - Rais, haraka katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro naye bila hata kufuata utaratibu akapokea "maagizo toka juu" atangaze kuwa mzee huyu kafukuzwa uanachama...!!!
Maswali anayouliza hapa:
1. Ni kina nani waliufadhiri na kuudhamini mkutano mkuu ule wa Dodoma wa tarehe 19/01/2024 uliowapitisha hawa kuwa wagombea Urais wa CCM...?
2. Ni kwanini jina Makamu Mwenyekiti ambalo tayari lilishapitia kwenye mchakato wote ghafla liliondolewa na kupitishwa Steven Wassira...?
3. Kama mamlaka na maamuzi ya kuteua mgombea u - Rais na mgombea mwenza wake yako mikononi mwa wanachama kupitia vikao vya chama, ni kwanini aliyependekezwa kuwa mgombea u - Rais (Bi. Samia Suluhu Hassan) ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama taifa alikataa kutoka na kuwapisha wajumbe kumjadili pale alipotakiwa afanye hivyo sawasawa na utaratibu unavyotaka..?
4. Anamalizia maswali yake kwa kuuliza: Kama hiki chama hakijatekwa na watu wachache ambao huamua nani awe nani, ni kwanini kuna ukiukwaji wa taratibu kwa kiwango hiki..?
Ngojea nikuambie maneno yatakayokukera.....Anatetea haki ya kila mwanachama wa CCM kugombea nafasi za uongozi ikiwemo ya u - Rais...
Kwanini wewe unaita malalamiko yake kuwa kuweweseka? Huyu ndiye hasa mzalendo anayetaka utaratibu wa haki kwa kila mwanachama kuzingatiwa
Si wajibu maswali anayouliza?
Haiwezekani mtu mmoja au kikundi kidogo ndani ya chama kiteke mchakato mzima na kupora haki za wengine kugombea uongozi wa chama na wa nchi...!!
Eti chama cha kijamaa,huku moyoni mabepari wakubwaNgojea nikuambie maneno yatakayokukera.....
CCM ni chama cha kijamaa....ujamaa wa kiafrika.....vyama vya kijamaa vina taratibu zake.....tusivilazimishe vifanane na vyama vya Kiliberali.....
Demokrasia ya CCM ni ya kipekee kwani imejikita chini zaidi katika kulinda "interests" zisizotaka "compromise" za siasa za kukopa *....
Mchakato wa kuwapata viongozi wetu unaanzia katika kamati nzito za wazee na vijana wenye maono yasiyohitaji siasa za Kiliberali*.....
Kanuni yetu ya kwanza ni KUHESHIMU majina ya viongozi tunaoletewa na wazee wenye MAONO makali ya kulinda AMANI ,UTULIVU na USALAMA wa integrity ya sovereignty ya Tanzania....
Demokrasia ya chama hiki bora haifanani na ya CDM ,ACT wala CUF wala siasa za Kenya na Ethiopia.....
Demokrasia yetu inafanana kidogoo na demokrasia ya chama cha CCCP cha China......
#Mwenyezi Mungu atuhifadhie CCM yetu aaaaamin aaaaamin !
Zidumu fikra za Mwenyekiti na wote kwa pamoja tuseme aaaaaamin. ! asiwepo wa kuleta mawazo mbdalaNgojea nikuambie maneno yatakayokukera.....
CCM ni chama cha kijamaa....ujamaa wa kiafrika.....vyama vya kijamaa vina taratibu zake.....tusivilazimishe vifanane na vyama vya Kiliberali.....
Demokrasia ya CCM ni ya kipekee kwani imejikita chini zaidi katika kulinda "interests" zisizotaka "compromise" za siasa za kukopa *....
Mchakato wa kuwapata viongozi wetu unaanzia katika kamati nzito za wazee na vijana wenye maono yasiyohitaji siasa za Kiliberali*.....
Kanuni yetu ya kwanza ni KUHESHIMU majina ya viongozi tunaoletewa na wazee wenye MAONO makali ya kulinda AMANI ,UTULIVU na USALAMA wa integrity ya sovereignty ya Tanzania....
Demokrasia ya chama hiki bora haifanani na ya CDM ,ACT wala CUF wala siasa za Kenya na Ethiopia.....
Demokrasia yetu inafanana kidogoo na demokrasia ya chama cha CCCP cha China......
#Mwenyezi Mungu atuhifadhie CCM yetu aaaaamin aaaaamin !
Hata mioyo ya wachina ni ya kibepari ila chama chao CCCP ni cha kijamaa.....Eti chama cha kijamaa,huku moyoni mabepari wakubwa
Ova
Although it's not a personality cult....ila kwetu sisi viongozi wetu ni "mboni"....tunazilinda hata kwa kupitia damu zetu......Zidumu fikra za Mwenyekiti na wote kwa pamoja tuseme aaaaaamin. ! asiwepo wa kuleta mawazo mbdala
Hoja iliyopo hapa ni kukiukwa kwa utaratibu wa kuteua mgombea u - Rais na mgombea mwenza wake....
Najaribu kufikiri kwa "sauti"....Umetoa hoja nzito tunaweza kusema ya karne, kukihusu chama dola kongwe.
Nina hakika comment yako hii, CCM hawataweza kujibu kwa hoja.
Sasa kama CCM wana utaratibu huo wa "term mbili" ambao haujaandikwa katibani lakini wanauadhimisha.....iweje WASIUADHIMISHE kipindi hiki na katika njia hizohizo za KUUADHIMISHA wanapotumia "ada , kawaida, taratibu" zisizo KATIBANI inaonekana kuwa KATIBA imepindishwa.....Kama wanavyosema SISIEMU kwamba wana utaratibu wao kwamba rais anapiga term mbili lakini pia mgombea huwa anachaguliwa mwezi wa 7 sasa inakuwaje Watch-Hundred amechaguliwa bila kufuata katiba?