MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Ni Tanzania pekee ambapo ujinga unatetewa na kundi kubwa la watu
Wasalaam wana JF Katika kipindi cha miaka sita iliyopita nchi yetu ilishuhudia utawala usiofuata sheria na kutojali haki na heshima za binadamu. Watanzania wengi walikua wamekatwa mikia na kugugumia. Haki za kisiasa na kiraia ziliporwa na watu waliumizwa kimwili na kiuchumi na wengine kupoteza...