Aliyeporwa "Range" na Makonda alipuka, atangaza kwenda Mahakamani

Aliyeporwa "Range" na Makonda alipuka, atangaza kwenda Mahakamani

Wengi walioumizwa na Bashite ni wenye uwezo mkubwa kifedha sasa wanashindwa nini kujipanga wakaunganisha nguvu wakamalizana naye 'kimila'? Huyu kuna kila dalili za kukingiwa kifua na dola kwa sababu zilizo wazi. Kwa mkondo wa sheria watachemsha tu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Maana waathirika wakubwa ni wauza ngada. Kweli wammalize kimila tu( hizi ndio akili za watz)
 
Wengi walioumizwa na Bashite ni wenye uwezo mkubwa kifedha sasa wanashindwa nini kujipanga wakaunganisha nguvu wakamalizana naye 'kimila'? Huyu kuna kila dalili za kukingiwa kifua na dola kwa sababu zilizo wazi. Kwa mkondo wa sheria watachemsha tu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Aliongoza kufanya maovu mengi sn
 
Wananchi wengi waliokwazika na kubughudhiwa sasa wameamka.

Huyu ni mmoja wa walio onja joto la jiwe kupitia kwa Makonda.

Hakika haki ucheleweshwa tu na mwanadamu.View attachment 2340574
hamna kitu hapo. Hilo ni genge, makonda alipambana na eti wauza unga kwa ajili ya kusafisha njia kwa genge la watu wake. na hiyo inaweza kuwa zawadi alimpa Makonda, leo hana uwezo wa kusafisha njia ndiyo anaibuka nye nye nye...mavi yake.
 
Kuna taarifa mineisikia nusunusu ikimuhusisha aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salamu awamu ya 5 kwa kushirikiana na mtoto wa Malecela, aliyekaribu na gazeti lililoandika suala hilo atujuze wengine tupo mbali na magazine.

Kwa mujibu wa chanzo cha habari nilipoisikia radio Clouds, walienda kuazima gari hilo, na bila hiyana mfanyabiashara alikubali lakini cha ajabu gari hilo halikurudishwa badala yake baada ya siku kadhaa lilipachikwa plate number za RC.

Kilio cha mfanyabiashara huyo, alikuwa anaomba Mh.Rais aingilie kati ili gari hilo liweze kurejeshwa kwake.

Makonda.PNG

Picha: Ukurasa wa mbele wa gazeti la Raia Mwema
 
Back
Top Bottom