MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
🤣😄Wasisahau kukusanya tozo katika huo mgogoro.
Congereza hicho!Wewe "an year" ndio nini?
sukari ya mzanzibari? mkuu usiongee ukamapizaWewe na hilo Gazeti nawaambieni kuwa kwa Tanzania hii ya sasa hakuna wa Kumkamata na Kumfunga Paul Makonda.
Na wala msipoteze muda Wenu katika hili na huwa nawashangaa kweli kweli Kutwa mnavyohangaika hivi na Sukari ya Mzanzibari.
😅🤣🤣hivi antelop ndio mnyama ganiThey will get him within this administration.
I am reliably told Makonda lives like an antelope. Always on the look out.
7baya has now been behind bars for over an year now.
Subiri chawa wa eneo la Kolomije wakujie ndotoni🤣Hii ndiyo Taarifa iliyoripotiwa na Gazetti la RaiaMwema kwa siku ya leo , kwamba yuko Mtanzania mwenzetu ambaye amemwangukia Mh Rais Samia , ili atie mkono wake kutokana na dhuluma aliyofanyiwa na Makonda aliyekuwa RC wa DSM ya kuporwa gari lake la kisasa aina ya RANGE ROVER .
Taarifa ya Gazeti hilo inaonyesha kwamba kwenye sakata hilo la uporaji , yuko pia Mtuhumiwa mwingine aliyejulikana kwa Jinala bandia la LE MUTUZ , anayedaiwa kuwa ni Mtoto wa Waziri Mkuu wa Zamani wa Tanzania , John Sigwemisi Malecela
Chanzo : RaiaMwema
Kweli hujaona tofauti hapo au wajitoa akili?Hapo tofauti iko wapi kati ya hao wawili; huoni wewe wote ni waporaji?
KimenukaaaWananchi wengi waliokwazika na kubughudhiwa sasa wameamka.
Huyu ni mmoja wa walio onja joto la jiwe kupitia kwa Makonda.
Hakika haki ucheleweshwa tu na mwanadamu.View attachment 2340574
Kazi kweli kweliSubiri chawa wa eneo la Kolomije wakujie ndotoni🤣
wote waporaji ila aliyekuwa anatumia silaha ni hatari zaidiHapo tofauti iko wapi kati ya hao wawili; huoni wewe wote ni waporaji?
Yaliyopita si ndwele,tugange yajayo.
Kuna vitu vya kusahau lakini si rangeMwenye range yake itakuwa hafahamu huu msemo