Aliyeporwa "Range" na Makonda alipuka, atangaza kwenda Mahakamani

Aliyeporwa "Range" na Makonda alipuka, atangaza kwenda Mahakamani

Huyo jamaa ni muoga na inaonekana pana madhambi alikua anafanya ndio maana akaamua kukaa kimya ...haiwezekani mtu wachukue pesa ukae kimya magazeti ndio yaanze kukutafuta ili upate haki yako...pana kitu kimejificha hapo ila muda ndio rafiki wa kujua ukweli..
 
Kweli hujaona tofauti hapo au wajitoa akili?
Nikitaka kuwa mkweli kwako, ni kwamba tofauti kubwa sana ipo, katika mtindo wa uporaji. Lakini matokeo ni yale yale ya kupora.
Sasa najuwa "kujitoa akili" kwangu, kunaweza kuwa nafuu zaidi yako uliyeuza akili moja kwa moja.
 
Wewe na hilo Gazeti nawaambieni kuwa kwa Tanzania hii ya sasa hakuna wa Kumkamata na Kumfunga Paul Makonda.

Na wala msipoteze muda Wenu katika hili na huwa nawashangaa kweli kweli Kutwa mnavyohangaika hivi na Sukari ya Mzanzibari.
Habari yenyewe imekaa kiduwanzi, hawasemi gari iliporwa vipi wanauma maneno tu, Kwa nilivoelewa Huyu jamaa alikua jambazi mwenzie Makonda
 
Wananchi wengi waliokwazika na kubughudhiwa sasa wameamka.

Huyu ni mmoja wa walio onja joto la jiwe kupitia kwa Makonda.

Hakika haki ucheleweshwa tu na mwanadamu.

View attachment 2341051
Kwa Akili ya kawaida tu,Makonda akufuate achukuwe gari lako ? Hao waliona Makonda Ana mamlaka wakajipendekeza ili kuficha mambo yao haramu, Makonda naye hakuwa fala akawapiga
 
Huyo naye mbona anahangaika bure,achukue sheria mkononi tu sidhani huyu mjinga Bashite kama ana ulinzi kama aliokuwa nao enzi za yule dhalim mporipori
 
Akiwa Mtumishi wa uma.

Angewapiga basi na kukabidhi Gari kwa Serikali na si kujimilikisha.
Jamaa hakuwa hivo, alukuwa mpigaji kwa maslahi yake Mkuu, hivo wote wana makosa ndio maana unqona wanaishia kujiliza tu
Nakupa mfano,kuna story tulisimuliwa humu JF vijana wawili wa kiume wenye matatizo ya akiri walikubaliana kufanya mapenzi kwa zamu ila mmoja ilipofikz zamu yake alikataa,ukawa ugomvi wakaenda polisi, walifukuzwa
 
Wewe na hilo Gazeti nawaambieni kuwa kwa Tanzania hii ya sasa hakuna wa Kumkamata na Kumfunga Paul Makonda.

Na wala msipoteze muda Wenu katika hili na huwa nawashangaa kweli kweli Kutwa mnavyohangaika hivi na Sukari ya Mzanzibari.
Anaemkingia kifua awe makini sana kwani kashfa atakoyopata itammaliza kabisa!
Namshauri tena; akae mbali na huyu nyoka katili kwa afya ya maisha na heshina yake!
 
Wewe na hilo Gazeti nawaambieni kuwa kwa Tanzania hii ya sasa hakuna wa Kumkamata na Kumfunga Paul Makonda.

Na wala msipoteze muda Wenu katika hili na huwa nawashangaa kweli kweli Kutwa mnavyohangaika hivi na Sukari ya Mzanzibari.

Waambie kabsa makonda hawezi kuwekwa ndani
 
Back
Top Bottom