Aliyerekodi tukio jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) apewe maua yake

Aliyerekodi tukio jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) apewe maua yake

HUYO MPIGA PICHA NI MIMI HAPA THE BIG SHOW...

LAKINI NAENDELEA KUHOJI KUWA NI KWELI ALICHOSEMA GAGACHUA WA FREEMAN MBOWE KUWA MAKANISA NA MAASKOFU YANAPOKEA RUSHWA KUTOKA KWA WANASIASA??
Si Kila sadaka Huwa inapokelewa,

Sadaka zingine hupokelewa na kuwekwa stoo kama ushahidi na kumbukumbu.

Mungu hadhihakiwi.
 
hakuna mtekaji miongoni mwao labda walipa visasa wa uswahilini kujaribu kutaka kulipa visasi vya dhuluma, dharau, jeuri au dhihaka za huyo muungwana mbabe kwenye biashara au familia za wengine mtaani na ndiyo maana wengine wakawa nanashangaa tu kama nyumbu anatafunwa na simba wenzie wakishangaa tu..

ubabe sio dili nje ya eneo lako la kujidai 🐒
Wewe ni mwendawazimu,

Mtaani Kuna duka la kuuza pingu?
 
Hakikisha kitambi hakiondoki, kitakuokoa siku wakitaka kukuteka. Concentrate na pumzi tu.
Changu sikitoi
IMG_20241113_081253_497.jpg

Hata kwa dawa 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe ni msaada mkubwa sana .....
 
Salaam, Shalom!

Wakati umma wa watz ukilaumu watu waliokuwa wakiangalia tukio lile la ndugu bonge akijaribu kutekwa na wasiojulikana,wenye pingu na silaha za moto.

Kwa jicho la Umakini, yupo shujaa aliyetumia vizuri simu yake na kurekodi tukio Zima tena sauti zikisikika kabisa, hii Ina maana kuwa alikuwa karibu sana na tukio hili.

- Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

Hii ni hatua kubwa huko tuendako maana ujasiri wa wenye Nchi kujilinda utaenda ukiongezeka.

Shujaa huyu hakuogopa KUPIGWA risasi na dreva aliyekuwa ndani ya gari, Abarikiwe huko aliko shujaa wetu.

Na Hadi hivi sasa wasiojulikana wamejulikana katika tukio lile Kwa picha na sura zao, na soon Majina Yao yatakuwa wazi maana wanatoka ndani ya JAMII zetu, tutajua ni Ushimen wa nani, na ni Jirani wa nani,

What comes around, goes around.

Mungu Mbariki mpiga picha.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Na walaaniwe Hawa waovu, na wote tuseme aamin!
Umeandika upuuzi. Watz hawana ujasiri imagine watu wote hao wanakodoa tu macho. Ila ingekua kigodoro hapo wangejisogeza au fumanizi wangejisogeza wote kwa kuitana
 
Umeandika upuuzi. Watz hawana ujasiri imagine watu wote hao wanakodoa tu macho. Ila ingekua kigodoro hapo wangejisogeza au fumanizi wangejisogeza wote kwa kuitana
Watanzania wasilaumiwe,

Pangekuwapo maduka ya kuuza pingu,

Wananchi wangeamini hao Si askari na wangeend kusaidia .

Hujiulizi aliyerekodi kwann hakuogopa?

Alikuwa ni polisi wako kazini, Yeye alitunza evidence.
 
Wewe ni mwendawazimu,

Mtaani Kuna duka la kuuza pingu?
relax na upunguze mihemko gentleman,
kwani kwa raia na kwa watu kibao hakuna bastola au bunduki gentleman?

kwani shukuru Kawambwa kipindi fulani video yake ilienda viral sana alitaka kufungwa pingu na raia au askari walipokua wakigombania mpaka?

kwamba kumiliki pingu ni anasa zaidi ya kumiliki bunduki right? Kwani unaishi wap gentleman 🐒
 
relax gentleman,
kwani kwa raia na kwa watu kibao hakuna bastola au bunduki gentleman?

kwani shukuru Kawambwa kipindi fulani video yake ilienda viral sana alitaka kufungwa pingu na raia au askari walipokua wakigombania mpaka?

kwamba pingu ni anasa zaidi ya bunduki right? Kwani unaishi wap gentleman 🐒
Pingu zinauzwa wapi wewe hayawani?
 
Watanzania wasilaumiwe,

Pangekuwapo maduka ya kuuza pingu,

Wananchi wangeamini hao Si askari na wangeend kusaidia .

Hujiulizi aliyerekodi kwann hakuogopa?

Alikuwa ni polisi wako kazini, Yeye alitunza evidence.
Hata askari akiwa anaua mtaangalia tu. Kijjn kwetu tulishindwa vumilia huu ujuha tukawatwanga polisi. Huwezi kuja kututisha bila makosa kukamata kamata watu wasio na hatia tuna kudunda tu. Bunduki moja haiwez kutuua watu 50 na mpaka akoki tusha mpokonya. Hawa wakudunda na kigari kingechomwa moto
 
Wewe ni raia?
 
Watekaji ni waoga sana,

Wamejua Noah zinashtukiwa,

Sasa wamechanganyikiwa, wanaenda kumteka bonge Kwa Toyota raum,

Apiteje kwenye Ule mlango,

Mungu wetu na aendelee kuwaaibisha.

Na Kwakuwa polisi wamekana kutowatambua watekaji,

Ile pingu asiirudishe.
Pingu ni Mali ya Jamuhuri ...

Itakuwa watekaji waliiba pingu kwenye kituo cha polisi ...
Najaribu kuwaza tuu
 
Back
Top Bottom