Aliyerekodi tukio jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) apewe maua yake

HUYO MPIGA PICHA NI MIMI HAPA THE BIG SHOW...

LAKINI NAENDELEA KUHOJI KUWA NI KWELI ALICHOSEMA GAGACHUA WA FREEMAN MBOWE KUWA MAKANISA NA MAASKOFU YANAPOKEA RUSHWA KUTOKA KWA WANASIASA??
Si Kila sadaka Huwa inapokelewa,

Sadaka zingine hupokelewa na kuwekwa stoo kama ushahidi na kumbukumbu.

Mungu hadhihakiwi.
 
Wewe ni mwendawazimu,

Mtaani Kuna duka la kuuza pingu?
 
Umeandika upuuzi. Watz hawana ujasiri imagine watu wote hao wanakodoa tu macho. Ila ingekua kigodoro hapo wangejisogeza au fumanizi wangejisogeza wote kwa kuitana
 
Umeandika upuuzi. Watz hawana ujasiri imagine watu wote hao wanakodoa tu macho. Ila ingekua kigodoro hapo wangejisogeza au fumanizi wangejisogeza wote kwa kuitana
Watanzania wasilaumiwe,

Pangekuwapo maduka ya kuuza pingu,

Wananchi wangeamini hao Si askari na wangeend kusaidia .

Hujiulizi aliyerekodi kwann hakuogopa?

Alikuwa ni polisi wako kazini, Yeye alitunza evidence.
 
Wewe ni mwendawazimu,

Mtaani Kuna duka la kuuza pingu?
relax na upunguze mihemko gentleman,
kwani kwa raia na kwa watu kibao hakuna bastola au bunduki gentleman?

kwani shukuru Kawambwa kipindi fulani video yake ilienda viral sana alitaka kufungwa pingu na raia au askari walipokua wakigombania mpaka?

kwamba kumiliki pingu ni anasa zaidi ya kumiliki bunduki right? Kwani unaishi wap gentleman 🐒
 
Pingu zinauzwa wapi wewe hayawani?
 
Watanzania wasilaumiwe,

Pangekuwapo maduka ya kuuza pingu,

Wananchi wangeamini hao Si askari na wangeend kusaidia .

Hujiulizi aliyerekodi kwann hakuogopa?

Alikuwa ni polisi wako kazini, Yeye alitunza evidence.
Hata askari akiwa anaua mtaangalia tu. Kijjn kwetu tulishindwa vumilia huu ujuha tukawatwanga polisi. Huwezi kuja kututisha bila makosa kukamata kamata watu wasio na hatia tuna kudunda tu. Bunduki moja haiwez kutuua watu 50 na mpaka akoki tusha mpokonya. Hawa wakudunda na kigari kingechomwa moto
 
Wewe ni raia?
 
Pingu ni Mali ya Jamuhuri ...

Itakuwa watekaji waliiba pingu kwenye kituo cha polisi ...
Najaribu kuwaza tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…