Aliyerekodi video akieleza amepewa bahasha yenye Tsh. 5,000 huko Kizimkazi asibughuziwe, kama mamlaka zina ushahidi kadanganya waseme

Aliyerekodi video akieleza amepewa bahasha yenye Tsh. 5,000 huko Kizimkazi asibughuziwe, kama mamlaka zina ushahidi kadanganya waseme

Zamani ilikuwa Give a Man a Fish and feed him for a Day teach him how to Fish and feed him for eternity...., Siku hizi hata hizo nyavu tu au sehemu ya kuvua samaki mtu hapewi / haipo..., Inabakia watu kutoa vijisadaka / vimisaada na kuona wamefanya la maana sana..., Kumbe wangefanya kazi yao ipasavyo wala kusingekuwa na haja ya kutoa hizo Bahasha....
 
hii bchi inavituko🤣🤣🤣🤣 ila samia🤣
 
Naye huyo mjinga hiyo elfu tano angeiokota barabarano? Hata angepewa elfu moja ashukuru
 
raisi mzima anagawa 5000 ya nin sasa hiyo ilifaa agawe Diwan au mwenyekit
 
434678067_299785989804728_8933096288406035851_n.jpg
 
Naye huyo mjinga hiyo elfu tano angeiokota barabarano? Hata angepewa elfu moja ashukuru
Nadhani malalamiko yake huenda ametoka mbali na ametumia gharama zaidi ya 5,000 .
Malalamiko yake huenda amepata hasara kwenda maana 5,000 ni ndogo kuliko nauli aliyotumia hivyo anaona ni Bora asingeenda angeokoa kitu.
 
Back
Top Bottom