njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
unajua alivypost watu walimuuliza signature ya verifier iko wapi? Mbona hiyo tarehe ni after match ina maana wana depart mbona hu post kwamba kule Sudani wachezaji wao 17 walikutwa na covid tarehe 5 march kesho yake tarehe sita wakapungua hadi watano? Simba inahusika vipi na vipimo na ili hali kila mechi siku hizi kuna medical officer wa CAF?
Bwana Nuhu kutoka Ghana akakomalia hii issue huku ha report hata issue ya Al ahly kule congo wachezaji wao watano kukutwa positive ingawa tofauti ya congo na nchi nyingi za kiafrika na ya kwetu ni kwamba SISI KUKANDAMIZANA NDIYO FURAHA YETU.
Simba vs As Vita kinshasa wachezaji 6 walikutwa na covid walipopimwa tena maafisa wa CAF wakasema wako cleared kucheza siku ya kuondoka airport wakazuiliwa wakakaa almost siku 5 karantini ila ikaonekana siyo habari hiyo kabisa.
Hata masaibu ya namungo siyo habari ukweli ni kwamba Nuhu yupo Ghana ila through comments keshajua sisi ni watu wa ain a gani yaani unakuta mwana utopolo ana comment anasema wanatumia GESI ZA SUMU VYUMBANI,daah aiseee ni aibu sana tengenezeni tu hiyo image yatawakuta na nyie kwenye hizo games za kimataifa.
Kigogo 2014 naye kwa chuki zake kwa mo dewji akaruka nayo hewani hadi maria sarungi,nilishangaa sana...Haya jamani chanzo chenu chenyewe kimejiona fala. Mjue tu kitu kimoja utopolo:
Afrika wanajua kwamba team yetu ya taifa ni dhaifu sana wanashangaa simba na namungo kufanya wanayofanya sasa, simba alionekana underdog wa group yanayotokea yamewachanganya wengi sana, na merreikh alijua simba ndo mnyonge wake.
Ndiyo maana hata siku tunamfunga ahly hapa dsm comments nyingi zilikuwa zinadai wachezaji wazawa wa simba first 11 ni wachache.
Hao wanaosema hivy ni raia wa nje hakuna kitu kitafanywa na team ya tanzania cha manaa wakakubali hata kidogo bahati mbaya wana support ya wana utopolo ni wivu uliozidi kiwango.