Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani na jirani zake kabisa na mbwa kama anaoMbumbumbu ni wewe na ukoo wako .
Mbumbumbu ni wewe na ukoo wako .
ukimtoa kikwete na baba manara mashabiki wote wa yanga waliobaki hawana akili na kweli hawana akili unayakumbuka haya maneno aliyasema nani 😁😁😁
Na walipiga makelele kweli kweliUhalisia 100%, Makolo ni Mambumbu mpaka na Viongozi wao.. wanaletewa Manzoki kwenye Kampeni [emoji23][emoji23]
Iko video humu humu JF inaonesha Rage akisema kwenye mkutano kuwa wanasimba wote ni mbumbumbu na wanamzomea ila hakuna video ya Manara akisema wenye akili utopoloni ni wawili TU Kikwete na Babiye! Acheni kujifariji mfungeni Wydad tuone ukubwa mnaojisifia!ukimtoa kikwete na baba manara mashabiki wote wa yanga waliobaki hawana akili na kweli hawana akili unayakumbuka haya maneno aliyasema nani 😁😁😁
Ni kweli unaweza kuwa upo sahihi lakini ukumbuke kuwa hata Manara aliwahi kusema kwamba wenye akili Yanga ni Mzee Kikwete na Baba Yake wengine hamnazo..!!Hii kauli nilidhani ni masihara lakini nilithibitisha ni kweli pale alipoletwa yule mchuuzi kutoka Bujumbura aliekuwa akifanya biashara na zake..!!Kwani huyu jamaa alitangazwa kuwa anatoka Newcastle na mashabiki kwa Ujuha wao mkubwa wakawa wanatamba kuwa wanamchezaji kutoka Newcastle..!!Hakika alichozungumza huyu mtu alikuwa yupo sahihi kabisa hata Mimi naunga mkono hoja kwa ushahidi wangu niliouona kwa mashabiki wa simba.
Ndiyo, siwezi kutengua kauli yangu yakuunga mkono hoja ya huyo aliyewaita mashabiki wa simba mbumbumbu hata hata nikipewa mil 5 za mamamara nne Kama walivyozibeba yanga baada yakujipatia magoli manne katika michuano yakimataifa.
Naunga hoja hiyo kwa, kwanza uchaguzi ule wa awamu ile aliyekuwa mgombea mwenyekiti katika kampeni zake na ahadi yake kubwa alisimama na kujinadi kuwa "ataifunga yanga"
Wajumbe wakampa kula zakutosha wakiamin kabisa hayo ni ya kweli lakini mwisho wa siku kilichowakuta simba ushindi wao kwa yanga ni droo tu.
Pili, mashabiki walianzisha nyimbo za kutomtaka matola wakidai kuwa anaihujumu timu na ndyo maana wanapata matokeo mabovu, matola akaona isiwe kesi matola Sasa hayupo lakini kipigo kipo pale mashabiki wamebaki wanatoa macho Kama mjusi aliyebanwa na mlango.
Tatu, uchaguzi wa juzi mgombea huyo huyo aliyeshindwa kutimiza ahadi yake yakuifunga yanga hakukoma akawadanganya Tena mashabiki kuwa ataifunga yanga na mashabiki wakapiga kula kumpa wakiwa na Imani ile ile.
Huyo huyo mwenyekiti mangungu akaona sasa awaletee na manzoki Tena akapewa na maiki kuwaaaminisha mashabiki kuwa yupo pamoja na mangungu na lazima atatua simba.
Yaani sijui Nini kinachowapumbaza mashabiki mpaka wanadanganywa hivi? Kwa kikosi cha Simba hivi sasa hakina uwezo wakuifunga yanga, Kama mwenyekiti wenu anawadanganya mashabiki shitukeni.
Naunga hoja ya Yule aliyewaita mashabiki wa simba ni "mbumbumbu"
Vipi kuhusu utopolo..? Maana hata nao walikuwa wanalia kwamba Nabi atimuliwe baada ya kufungwa na Al Hilal..!! Na kusema kwamba Hana mbinu au hili majuha wa Utopolo mnajisahaulisha..?MAKOLO hayajielewi siku zote
Makolo ni Makolo tu
Huyo huyo mwenyekiti mangungu akaona sasa awaletee na manzoki Tena akapewa na maiki kuwaaaminisha mashabiki kuwa yupo pamoja na mangungu na lazima atatua simba.
kama alivyokuja Ibenge tu. Unawapangia wenzako mtu wa kumualika? Kesho utauliza MwanaFA anaingia jukwaa kuu kama nani, wakati bado hujamalizana na Feisal na Morrison. Hivi Bigirimana wa EPL ametolewa kwa mkopo au ameuzwa? maana Kambole anakiwasha sana kule Zambia na Yikpe ni nyota UarabuniWaje wajibu hapa Manzoki alikuja kwenye uchaguzi wao kama nani?
Maana kutokana na umbumbumbu wao, Mwenyekiti alishinda ule uchaguzi kwa wepesi kabisa! Kisa tu aliwaletea Caesar Manzoki kuja kuwasalimia.
Mbona umejibu kwa hasira sanaWenye akili huko utupoloni kabaki baba ake haji tu,ambaye anajua wazi kuwa mwanae ni simba ila anadanganya ma utopolo
Kwa hiyo manzoki ni mgeni rasmikama alivyokuja Ibenge tu. Unawapangia wenzako mtu wa kumualika? Kesho utauliza MwanaFA anaingia jukwaa kuu kama nani, wakati bado hujamalizana na Feisal na Morrison. Hivi Bigirimana wa EPL ametolewa kwa mkopo au ameuzwa? maana Kambole anakiwasha sana kule Zambia na Yikpe ni nyota Uarabuni
cc: NALIA NGWENA
ndio, ulitaka wamualike na Feisal kabisa?Kwa hiyo manzoki ni mgeni rasmi
Mbona umemjibu kwa jazba mkuu? 😅😅Mbumbumbu ni wewe na ukoo wako .
Unasema???Iko video humu humu JF inaonesha Rage akisema wanasimba ni mbumbumbu na wanamzomea ila hakuna video ya Manara akisema wenye akili utopoloni ni wawili TU Kikwete na Babiye!