Aliyesema mashabiki wa Simba ni mbumbumbu naomba ajengewe sanamu kubwa sana katikati ya Dar es Salaam

Aliyesema mashabiki wa Simba ni mbumbumbu naomba ajengewe sanamu kubwa sana katikati ya Dar es Salaam

Vipi kuhusu utopolo..? Maana hata nao walikuwa wanalia kwamba Nabi atimuliwe baada ya kufungwa na Al Hilal..!! Na kusema kwamba Hana mbinu au hili majuha wa Utopolo mnajisahaulisha..?
Mliosema Nabi atimuliwe ni nyie "Tatu mzuka fc" aka mikia , Zuwena makolo fc!
Hivi Utopoloni tumfukuze kocha ambae Simba haijawahi kumfunga? Kocha wa makombe? Mbumbumbu mko peke yenu!
 
Vipi kuhusu utopolo..? Maana hata nao walikuwa wanalia kwamba Nabi atimuliwe baada ya kufungwa na Al Hilal..!! Na kusema kwamba Hana mbinu au hili majuha wa Utopolo mnajisahaulisha..?
Wewe kama ni Kolo baki na ukolo wako...maana yake huna hata akili
 
Wenye akili huko utupoloni kabaki baba ake haji tu,ambaye anajua wazi kuwa mwanae ni simba ila anadanganya ma utopolo
Makolo ni mambumbumbu kweli, kila siku mnajipendekeza kwa Haji Manara...unataka nawewe akuoe mke wa 3?
 
Back
Top Bottom