Binti mrembo kama wewe unashabikiaje utopolo?Naomba kuchangia mifuko ya cement, ya hilo sanamu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binti mrembo kama wewe unashabikiaje utopolo?Naomba kuchangia mifuko ya cement, ya hilo sanamu...
Kwa uandishi huu mbumbumbu ni wewe. Somo la mwandiko lilikupita!Hakika alichozungumza huyu mtu alikuwa yupo sahihi kabisa hata Mimi naunga mkono hoja kwa ushahidi wangu niliouona kwa mashabiki wa simba.
Ndiyo, siwezi kutengua kauli yangu yakuunga mkono hoja ya huyo aliyewaita mashabiki wa simba mbumbumbu hata hata nikipewa mil 5 za mamamara nne Kama walivyozibeba yanga baada yakujipatia magoli manne katika michuano yakimataifa.
Naunga hoja hiyo kwa, kwanza uchaguzi ule wa awamu ile aliyekuwa mgombea mwenyekiti katika kampeni zake na ahadi yake kubwa alisimama na kujinadi kuwa "ataifunga yanga"
Wajumbe wakampa kula zakutosha wakiamin kabisa hayo ni ya kweli lakini mwisho wa siku kilichowakuta simba ushindi wao kwa yanga ni droo tu.
Pili, mashabiki walianzisha nyimbo za kutomtaka matola wakidai kuwa anaihujumu timu na ndyo maana wanapata matokeo mabovu, matola akaona isiwe kesi matola Sasa hayupo lakini kipigo kipo pale mashabiki wamebaki wanatoa macho Kama mjusi aliyebanwa na mlango.
Tatu, uchaguzi wa juzi mgombea huyo huyo aliyeshindwa kutimiza ahadi yake yakuifunga yanga hakukoma akawadanganya Tena mashabiki kuwa ataifunga yanga na mashabiki wakapiga kula kumpa wakiwa na Imani ile ile.
Huyo huyo mwenyekiti mangungu akaona sasa awaletee na manzoki Tena akapewa na maiki kuwaaaminisha mashabiki kuwa yupo pamoja na mangungu na lazima atatua simba.
Yaani sijui Nini kinachowapumbaza mashabiki mpaka wanadanganywa hivi? Kwa kikosi cha Simba hivi sasa hakina uwezo wakuifunga yanga, Kama mwenyekiti wenu anawadanganya mashabiki shitukeni.
Naunga hoja ya Yule aliyewaita mashabiki wa simba ni "mbumbumbu"
Wewe unataka ajengew Nini,Na aliyesema hapo UTOPOLONI wenye akili ni KIKWETE na SundayManara ajengewe nini??
Sawa mwalimu mkuuKwa uandishi huu mbumbumbu ni wewe. Somo la mwandiko lilikupita!
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Ulitaka ashabikie makolo.Binti mrembo kama wewe unashabikiaje utopolo?
Ndio nawauliza wana utopwengaWewe unataka ajengew Nini,
Umbumbumbu mwingi sana kichwani mwako.Ndio nawauliza wana utopwenga
Sawa mla mihogoUmbumbumbu mwingi sana kichwani mwako.
Washabiki wa Yanga ni chupidi sanaHakika alichozungumza huyu mtu alikuwa yupo sahihi kabisa hata Mimi naunga mkono hoja kwa ushahidi wangu niliouona kwa mashabiki wa simba.
Ndiyo, siwezi kutengua kauli yangu yakuunga mkono hoja ya huyo aliyewaita mashabiki wa simba mbumbumbu hata hata nikipewa mil 5 za mamamara nne Kama walivyozibeba yanga baada yakujipatia magoli manne katika michuano yakimataifa.
Naunga hoja hiyo kwa, kwanza uchaguzi ule wa awamu ile aliyekuwa mgombea mwenyekiti katika kampeni zake na ahadi yake kubwa alisimama na kujinadi kuwa "ataifunga yanga"
Wajumbe wakampa kula zakutosha wakiamin kabisa hayo ni ya kweli lakini mwisho wa siku kilichowakuta simba ushindi wao kwa yanga ni droo tu.
Pili, mashabiki walianzisha nyimbo za kutomtaka matola wakidai kuwa anaihujumu timu na ndyo maana wanapata matokeo mabovu, matola akaona isiwe kesi matola Sasa hayupo lakini kipigo kipo pale mashabiki wamebaki wanatoa macho Kama mjusi aliyebanwa na mlango.
Tatu, uchaguzi wa juzi mgombea huyo huyo aliyeshindwa kutimiza ahadi yake yakuifunga yanga hakukoma akawadanganya Tena mashabiki kuwa ataifunga yanga na mashabiki wakapiga kula kumpa wakiwa na Imani ile ile.
Huyo huyo mwenyekiti mangungu akaona sasa awaletee na manzoki Tena akapewa na maiki kuwaaaminisha mashabiki kuwa yupo pamoja na mangungu na lazima atatua simba.
Yaani sijui Nini kinachowapumbaza mashabiki mpaka wanadanganywa hivi? Kwa kikosi cha Simba hivi sasa hakina uwezo wakuifunga yanga, Kama mwenyekiti wenu anawadanganya mashabiki shitukeni.
Naunga hoja ya Yule aliyewaita mashabiki wa simba ni "mbumbumbu"
[emoji16] chpidi la nan
Hawa jamaa nimeamini ni mbumbumbu kweli, kwenye ule uchaguzi wao wa juzi kati! Eti Caesar Manzoki katumiwa nauli ya ndege kutoka China, ili kuja tu kuuza sura na pia kufanikisha ushindi kwa Mwenyekiti Murtaza Mangungu!!
Ukiuliza alikuja kama nani? Hawana majibu! Kwa kweli Ismail Aden Rage anastahili tuzo ya heshima.
Matusi unayajua, Kama neno mbumbumbu ni tusi mpaka Sasa rage kafungwa miaka mingapi.nashangaa uzi kama huu wa kutukana wana simba upo ila wa kuwakosoa walimu na kupinga ushoga unafutiwa
unafikirisha sana
NakaziaMbumbumbu ni wewe na ukoo wako .
Chupidi sana nyie watopolo[emoji16] chpidi la nan
Mbumbumbu ni wewe na wanasimba wenzako.Mbumbumbu ni wewe na ukoo wako .
Kazia tu angalia usije ukakazwa na wewe.Nakazia