Aliyesema mashabiki wa Simba ni mbumbumbu naomba ajengewe sanamu kubwa sana katikati ya Dar es Salaam

Kwa uandishi huu mbumbumbu ni wewe. Somo la mwandiko lilikupita!

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Na aliyesema hapo UTOPOLONI wenye akili ni KIKWETE na SundayManara ajengewe nini??
 
Washabiki wa Yanga ni chupidi sana

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kuna uhusiano gani kati ya kutokuwa na akili na ushabingi wa yanga?????
 

Rage na bastola yake kiunoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…