Aliyesema ndoa ni utapeli ajengewe sanamu

Hisia uisha pia ni jambo lililo nje ya uwezo wa kibinadamu japo wazee wanadai hiyo hali kila mtu umkuta ndoani na hutamani kuchepuka ila huwa ni ya kipindi tu baada ya hapo hisia hurudi na maisha mengine uendelea hiko ni kipindi kigumu cha ndoa utokea mara baada ya kuzaa mtoto wa kwanza au wa pili hata wa tatu kwasababu ya kuzoeana.
 
Pesanyingi umeshindwa kumgawia rafiki yako pesa kidogo.

Huyo rafiki yako akiwa na pesa basi mwambie amshauri mkewe kuliko atafute mwingine waingie makubaliano, jamaa awe anamlipa elfu 10 tu kwa kila dakika wanayotumia kwenye kula mbususu.

Akienda dakika 30 basi anaweka 300k ambayo mke ana Uhuru kamili.

Najua mwanzoni atagoma lakini akiona mzigo unakaribia 1m mke ndo atakuwa anamkumbusha kupiga show
Helaaa hata kwenye Ndoa inahitajikaa mnooo...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Rafiki yako amekuwa akikushirikisha madhaifu ya upande mmmoja, je amewahi kukwambia na yeye jinsi anamkosea mkewe? Uyo dada nna uhakika kuna sababu imemtoa hisia kwa mumewe, labda ni ule usaliti wa mumewe na wamekuwa wakigombana mara nyingi, mke amevumilia hadi amejikuta anamchukia mumewe.....haya maisha wanayaishi wanawake wengi sana kwenye ndoa
 
Habari za ijumaa wadau.Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina class mate wangu tupo karibu sana kama ndugu kwenye urafiki wetu.

Sasa anachangamoto ya kimahusiano na mke wake ameniomba ushauri.

Niende moja Kwa moja kwenye mada class mate wangu huyo kutokana na ukaribu nliokuwa nao japo tupo mikoa miwili tofauti ila amekuwa akinishirisha mambo kadhaa juu ya mahusiano yake na mke wake.

Kufupisha story wamekuwa wakiingia kwenye migogoro ya mara Kwa mara na mke wake hususa mume anapotaka huduma ya kiondoa mke anakuwa anampa sababu ambazo haziishii.

Ila Kwa Jana amenipigia simu kunieleza ujumbe ambao mke wake amemtumia wakati akiwa safarini Sasa anaomba ushauri mimi mwenyewe nimeshindwa kumjibu lolote tangu Jana, nikasema nilete jambo hili hapa jukwaani pengine naweza kupata pa kuanzia kumshauri.

Mke wa class mate wangu huyo amemtumia muwe sms kwamba"haisi chochote kwenye mapenzi na hatamani kufanya tendo la ndoa (ni mke na mume ndoa ya kanisani) na akimsihi mume atafute mtu mwingine ibakie kulea watoto TU kwani wana watoto wawili" Nakaribisha mwenye ushauri wa kujenga atoe ushauri wake ila Kwa ambaye huna ushauri usijibu kejeli.

yupo jamaa kamzidi kete hilo lipo wazi
 
Tumesikia story ya upande mmoja, tuletee na story ya mwanamke ili tubalance, hisia hazipotei bure lazima kuwe na sababu,

Ndio maana ndugu zenu Wazungu wameamua kujiwekea Open Relationship, haya mambo ya kuchokana hua ni upepo flan unapita kwa Wanandoa na sababu hua maudhi madogo madogo yanazalisha hasira.
 
POLE BRO AISEE, HUYO CLASSMATE BILA SHAKA NDIO WEWE AU SIO?

YATAPITA TU
 
Rafiki yako amekuwa akikushirikisha madhaifu ya upande mmmoja, je amewahi kukwambia na yeye jinsi anamkosea mkewe? Uyo dada nna uhakika kuna sababu imemtoa hisia kwa mumewe, labda ni ule usaliti wa mumewe na wamekuwa wakigombana mara nyingi, mke amevumilia hadi amejikuta anamchukia mumewe.....haya maisha wanayaishi wanawake wengi sana kwenye ndoa
Safi sana kutukumbusha kanuni ya msingi ya kiasili ya haki: Audi alteram partem, ni lazma tuusikie upande wa pili kabla ya kuhukumu wala kuonyesha huruma
 
MIMI NA JUA NI WEWE NA HAPO UNACHAPIWA NJE , NA MWANAMKE AMEKUONA BWEGE HUNA PAKWENDA NA ANAJUA AKIKUPEA HUWEZI PIGA SHOW KALI KAMA ZA HUKO NJE ANAZOPEWA KUBALI UKATAE ILA HUU NDIYO UKWELI

Sasa Fanya hivi, tengeneza mazingira huyo mke aende kwao kusalimia na akifika kwao usiwe na time nae kabisa yani kua busy na mambo yako mpaka ahisi humpendi tena na umepata mwanamke mwingine anayekufaya umsahau

Siku akirudi na akikupa mbusu isuse kwa muda jifanye hiyo siku hauko poa alafu endelea kupotezea yani usiwe na time na mbususu yake kabisa wala kuonyesha una hisia nae yoyote ile alafu kua bahili bahili tuu sana, busy na harakati zako , punguza kabisa upendo kijanja, na usionyeshe kutafuta huruma zake. hapa mwanamke atashtuka kuna mahali umetekwa au umepata mwanamke mwingine na lazima atanza kujirudisha pia atakutegea sana minyanduo ila jifanye huelewi somo na siku ingine akikupa ichape kojoa sepa na usimwambie hata asante wala kumsifia yani iwe kama tuu mtu aliyeenda kukojoa chooni na kurudi.

Ili uweze hili na kujiepusha na punyeto. Hakikisha unakademu ka pembeni kakukutoa wenge ila usikape mimba. ( zingatia sana usimpe mimba ila mpe hela)

NB: MFANYIE PSYCHOLOGICAL TORTURE MPAKA AKAE SAWA.

KATAA NDOA , NDOA NI ANASA
 
Habari za ijumaa wadau.Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina class mate wangu tupo karibu sana kama ndugu kwenye urafiki wetu.

Sasa anachangamoto ya kimahusiano na mke wake ameniomba ushauri.

Niende moja Kwa moja kwenye mada class mate wangu huyo kutokana na ukaribu nliokuwa nao japo tupo mikoa miwili tofauti ila amekuwa akinishirisha mambo kadhaa juu ya mahusiano yake na mke wake.

Kufupisha story wamekuwa wakiingia kwenye migogoro ya mara Kwa mara na mke wake hususa mume anapotaka huduma ya kiondoa mke anakuwa anampa sababu ambazo haziishii.

Ila Kwa Jana amenipigia simu kunieleza ujumbe ambao mke wake amemtumia wakati akiwa safarini Sasa anaomba ushauri mimi mwenyewe nimeshindwa kumjibu lolote tangu Jana, nikasema nilete jambo hili hapa jukwaani pengine naweza kupata pa kuanzia kumshauri.

Mke wa class mate wangu huyo amemtumia muwe sms kwamba"haisi chochote kwenye mapenzi na hatamani kufanya tendo la ndoa (ni mke na mume ndoa ya kanisani) na akimsihi mume atafute mtu mwingine ibakie kulea watoto TU kwani wana watoto wawili" Nakaribisha mwenye ushauri wa kujenga atoe ushauri wake ila Kwa ambaye huna ushauri usijibu kejeli.
Mwanamke wa aina hii ndiye anatakiwa aisee! Hataki kumchosha mumewe....kaamua kumruhusu akamue nje ya ndoa. Safi sana
 
MIMI NA JUA NI WEWE NA HAPO UNACHAPIWA NJE , NA MWANAMKE AMEKUONA BWEGE HUNA PAKWENDA NA ANAJUA AKIKUPEA HUWEZI PIGA SHOW KALI KAMA ZA HUKO NJE ANAZOPEWA KUBALI UKATAE ILA HUU NDIYO UKWELI

Sasa Fanya hivi, tengeneza mazingira huyo mke aende kwao kusalimia na akifika kwao usiwe na time nae kabisa yani kua busy na mambo yako mpaka ahisi humpendi tena na umepata mwanamke mwingine anayekufaya umsahau

Siku akirudi na akikupa mbusu isuse kwa muda jifanye hiyo siku hauko poa alafu endelea kupotezea yani usiwe na time na mbususu yake kabisa wala kuonyesha una hisia nae yoyote ile alafu kua bahili bahili tuu sana, busy na harakati zako , punguza kabisa upendo kijanja, na usionyeshe kutafuta huruma zake. hapa mwanamke atashtuka kuna mahali umetekwa au umepata mwanamke mwingine na lazima atanza kujirudisha pia atakutegea sana minyanduo ila jifanye huelewi somo na siku ingine akikupa ichape kojoa sepa na usimwambie hata asante wala kumsifia yani iwe kama tuu mtu aliyeenda kukojoa chooni na kurudi.

Ili uweze hili na kujiepusha na punyeto. Hakikisha unakademu ka pembeni kakukutoa wenge ila usikape mimba. ( zingatia sana usimpe mimba ila mpe hela)

NB: MFANYIE PSYCHOLOGICAL TORTURE MPAKA AKAE SAWA.

KATAA NDOA , NDOA NI ANASA
Za kuambiwa changanya na zako.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Habari za ijumaa wadau. Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina class mate wangu tupo karibu sana kama ndugu kwenye urafiki wetu.

Sasa anachangamoto ya kimahusiano na mke wake ameniomba ushauri.

Niende moja Kwa moja kwenye mada class mate wangu huyo kutokana na ukaribu niliokuwa nao japo tupo mikoa miwili tofauti ila amekuwa akinishirisha mambo kadhaa juu ya mahusiano yake na mke wake.

Kufupisha story wamekuwa wakiingia kwenye migogoro ya mara Kwa mara na mke wake hususa mume anapotaka huduma ya kindoa mke anakuwa anampa sababu ambazo haziishii.

Ila Kwa Jana amenipigia simu kunieleza ujumbe ambao mke wake amemtumia wakati akiwa safarini Sasa anaomba ushauri mimi mwenyewe nimeshindwa kumjibu lolote tangu Jana, nikasema nilete jambo hili hapa jukwaani pengine naweza kupata pa kuanzia kumshauri.

Mke wa class mate wangu huyo amemtumia mume sms kwamba "haisi chochote kwenye mapenzi na hatamani kufanya tendo la ndoa (ni mke na mume ndoa ya kanisani) na akimsihi mume atafute mtu mwingine ibakie kulea watoto TU kwani wana watoto wawili" Nakaribisha mwenye ushauri wa kujenga atoe ushauri wake ila Kwa ambaye huna ushauri usijibu kejeli.
Ss inahusianaje na kataa ndoa mkuu!
Mambo yanayosabanisha kukosa hisia na mtu ni mengi!
Kuna ya kiroho pia, km ana spirit hawezi kuwa na hisia nae Tena.

Labda ana low libido wanasema
Au na mtu mwingine, mambo ni mengi jmn
 
Back
Top Bottom