Aliyesema ndoa ni utapeli ajengewe sanamu

Aliyesema ndoa ni utapeli ajengewe sanamu

Ni vizuri mke amekuwa muwazi. Hii haina maana mke amepata mtu mwingine. Tafiti zinaonyesha kuwa takribani 62% ya wanawake walioko kwenye ndoa hawafurahii tendo la ndoa. Wengine hujikaza tu kisabuni na maisha yaende. Wengine huamua kujichua japo kujipa raha kidogo na wengine hutafuta michepuko ili kukidhi haja ya ndoa.

Sababu za wanawake kuto kufika kileleni na kufurahia tendo la ndoa ziko nyingi. Na siyo mara zote ni udhaifu wa mwanaume.

Sababu ndogo ndogo ambazo ni rahisi kurekebishika ni pamoja na
1. Mwanamke kujihisi hayuko salama.
2. Mwanamke kutokuwa huru na kushindwa kumwambia mme wake vitu anavyo taka kufanyiwa ili afike kileleni.
3. Mwanamke kutokujua mwili wake una nyegeka kwa staili ipi au maeneo muhimu yanye nyege.
4. Mwanaume kutokujua jinsi ya kumuandaa mwanamke na kuto kujua jinsi ya mkojoza mwanamke wake. Hapa naongelea walw wanaume ambao wakifika wanaingiza wana pampu mara mbili mara ya tatu anakojoa anakaa pembeni.

Sababu nyingine ni magonjwa, sababu za kisaikolojia, sababu za kimaumbile kama upungufu wa homoni fulani etc.

Hivyo hadi bidada amesema nadhani amejaribu kuwa muwaza, kwa sababu uzalendo umemshinda.

Mwambie Jamaa asipaniki. Awe mtulivu na asimkasirikie mke wake. Anachotakiwa kufanya ni kumpa pole na kumfanya awe huru kuelezea tatizo lake. Then wakae pamoja kujaribu njia tofauti tofauti hadi watakapo pata suluhisho la tatizo lao.

Hata mimi nakiri kwa muda mrefu nikiwa kijana nilikuwa sijui tabia na hisia za wanawake mbalimbali kwenye suala la mapenzi. Inawezekana wapenzi wangu wa zamani nilikuwa nawa boa tu kitandani. Hadi pale binti mmoja aliponiambia "Mimi nimechoka, kila siku unafaidi wewe tu mimi hata sikojoi" Hapo ndo nilianza kudadisi na kujifunza mbinu mbalimbali za kumfikisha mwanamke kileleni.

Na baada ya hapo tuliendelea na mapenzi vizuri kabisa.
Kwa ushauri zaidi mwambie jamaa kama yuko tayari anipe namba yake kupitia PM ili niweze kumsikiliza na kumpa ushauri ajaribu ili aponye ndoa yake.
 
Back
Top Bottom