Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
ni mTanzania au?🐒Mahakama ya Moshi jana tarehe 19 mahakama ya Moshi imemuachilia huru kwa kumfutia KESI ya UHAINI Godfrey Malisa kwa masharti kwamba asifanye kosa ndani ya miezi 12.
Mahakama hiyo haina uwezo kusikiliza kesi ya uhaini, nafikri DPP ameiondoa kesi hiyo kukwepa aibu ya kupigwa mweleka kama ingepelekwa Mahakama Kuu kusikilizwa, ni kama walivyopaliwa na kesi ya mchongo ya uhaini ya Lissu hadi wamekwenda kuiegesha Mahakama ya Rufaa wakiona aibu kwa ujinga waliofanya.Mahakama imefikia vipi uamuzi huo?
Imesikiliza shauri/mashauri?
Je, imemkuta na hatia?
Mbona hakuna mwenendo wa kesi?
Mbona hakuna nakala ya hukumu?
Nashangaa aisee!Mahakama hiyo haina uwezo kusikiliza kesi ya uhaini, nafikri DPP ameiondoa kesi hiyo kukwepa aibu ya kupigwa mweleka kama ingepelekwa Mahakama Kuu kusikilizwa, ni kama walivyopaliwa na kesi ya mchongo ya uhaini ya Lissu hadi wamekwenda kuiegesha Mahakama ya Rufaa wakiona aibu kwa ujinga waliofanya.
That is the goalAsije kutajwa na hii time mpya
Kwa hiyo kahukumiwa kifungo cha miezi 12 kwa kosa gani?Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi Mei 19, 2026 imemuachilia huru kwa kumfutia KESI ya UHAINI Mchungaji Godfrey Malisa, kwa masharti kwamba asifanye kosa ndani ya Miezi 12.