Usikute wamepiga sumu ya kumuua taratibu baada ya mwezi mzee wa watu anang'oka, hii mijitu ina ushetani mwingi sana.Walitaka kumuua
Hapakuwa na kesi ila fit ina na vitisho uchwaraMahakama ya Hakimu Mkazi Moshi Mei 19, 2026 imemuachilia huru kwa kumfutia KESI ya UHAINI Mchungaji Godfrey Malisa, kwa masharti kwamba asifanye kosa ndani ya Miezi 12.
Dkt. Godfrey Malisa alikuwa anakabiliwa na kesi mbili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, ambazo;
- Kesi ya uhaini namba 000028333 ya 2025, ambapo anadaiwa kuhamasisha umma kushiriki katika mikusanyiko isiyo halali kwa kumtishia Rais Samia kujiuzulu la sivyo yangefanyika maandamano makubwa nchini Desemba 9, 2025.
- Kesi ya Makosa ya Kimtandao namba 000028411 ya 2025, ambapo anatuhumiwa kuchapisha taarifa katika kurasa yake ya Youtube Novemba 2025, akimtaka Rais Samia kujiuzulu kwa kuhusika na vifo vya maelfu ya Watanzania, akifahamu kuwa taarifa hizo si sahihi zilizolenga kupotosha umma.
Zaidi soma
- Dkt. Malisa: Rais Samia ajiuzulu kabla ya Disemba 9 au Akabili Maandamano makubwa ambayo hayajawahitokea Barani Afrika
- Aliyekosoa mchakato wa uteuzi wa Samia ndani ya CCM, Mzee Godfrey Malisa ashtakiwa kwa UHAINI
- Mbali na kesi ya Uhaini, Dkt. Malisa afunguliwa pia kesi ya Jinai ya Makosa ya Kimtandao
- Inadaiwa Dkt. Godfrey Malisa ametekwa jana usiku akiwa nyumbani kwake
Bongo bhana...Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi Mei 19, 2026 imemuachilia huru kwa kumfutia KESI ya UHAINI Mchungaji Godfrey Malisa, kwa masharti kwamba asifanye kosa ndani ya Miezi 12.
Dkt. Godfrey Malisa alikuwa anakabiliwa na kesi mbili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, ambazo;
- Kesi ya uhaini namba 000028333 ya 2025, ambapo anadaiwa kuhamasisha umma kushiriki katika mikusanyiko isiyo halali kwa kumtishia Rais Samia kujiuzulu la sivyo yangefanyika maandamano makubwa nchini Desemba 9, 2025.
- Kesi ya Makosa ya Kimtandao namba 000028411 ya 2025, ambapo anatuhumiwa kuchapisha taarifa katika kurasa yake ya Youtube Novemba 2025, akimtaka Rais Samia kujiuzulu kwa kuhusika na vifo vya maelfu ya Watanzania, akifahamu kuwa taarifa hizo si sahihi zilizolenga kupotosha umma.
Zaidi soma
- Dkt. Malisa: Rais Samia ajiuzulu kabla ya Disemba 9 au Akabili Maandamano makubwa ambayo hayajawahitokea Barani Afrika
- Aliyekosoa mchakato wa uteuzi wa Samia ndani ya CCM, Mzee Godfrey Malisa ashtakiwa kwa UHAINI
- Mbali na kesi ya Uhaini, Dkt. Malisa afunguliwa pia kesi ya Jinai ya Makosa ya Kimtandao
- Inadaiwa Dkt. Godfrey Malisa ametekwa jana usiku akiwa nyumbani kwake
Watamvizia nje ya mahakamaMahakama ya Hakimu Mkazi Moshi Mei 19, 2026 imemuachilia huru kwa kumfutia KESI ya UHAINI Mchungaji Godfrey Malisa, kwa masharti kwamba asifanye kosa ndani ya Miezi 12.
Dkt. Godfrey Malisa alikuwa anakabiliwa na kesi mbili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, ambazo;
- Kesi ya uhaini namba 000028333 ya 2025, ambapo anadaiwa kuhamasisha umma kushiriki katika mikusanyiko isiyo halali kwa kumtishia Rais Samia kujiuzulu la sivyo yangefanyika maandamano makubwa nchini Desemba 9, 2025.
- Kesi ya Makosa ya Kimtandao namba 000028411 ya 2025, ambapo anatuhumiwa kuchapisha taarifa katika kurasa yake ya Youtube Novemba 2025, akimtaka Rais Samia kujiuzulu kwa kuhusika na vifo vya maelfu ya Watanzania, akifahamu kuwa taarifa hizo si sahihi zilizolenga kupotosha umma.
Zaidi soma
- Dkt. Malisa: Rais Samia ajiuzulu kabla ya Disemba 9 au Akabili Maandamano makubwa ambayo hayajawahitokea Barani Afrika
- Aliyekosoa mchakato wa uteuzi wa Samia ndani ya CCM, Mzee Godfrey Malisa ashtakiwa kwa UHAINI
- Mbali na kesi ya Uhaini, Dkt. Malisa afunguliwa pia kesi ya Jinai ya Makosa ya Kimtandao
- Inadaiwa Dkt. Godfrey Malisa ametekwa jana usiku akiwa nyumbani kwake
Ni Mtanganyikani mTanzania au?🐒
huenda ndio maana kaachiwa,Ni Mtanganyika
Ni katika utawala huu pekee wa Samia kesi za uhaini zinafunguliwa hovyo hovyo tu pasipo hata ya kuwa na ushaidi, na bila ya kujali ukubwa wa jinai hii pekee inayotajwa ndani katiba ya nchi.Hii ni wazi kabisa kuwa serikali inabambikizia watu kesi za uhaini.
Mzee Malissa amesota jela bila hatia alafu anakuja kuachiwa kimyakimya!
Mahakama imefikia vipi uamuzi huo?
Imesikiliza shauri/mashauri?
Je, imemkuta na hatia?
Mbona hakuna mwenendo wa kesi?
Mbona hakuna nakala ya hukumu?
Kama ni hivyo mbona utekaji wa wazi unaendelea?Hii ni damage control...
baada ya chama kubaini uwepo wa mwanguko wa imani na kutoridhika kwa kiwango kikubwa miongoni mwa wananchi. Ni jaribio la kimkakati la kurejesha uhusiano mwema na wananchi...
Hii ni political engineering...
Mkuu yanayofanyika yote ni maigizo hiko ndicho namaanisha, CCM wapo scene wakicheza filamu... nitashangaa kama kuna watu wata waamini hawa maharamia..Kama ni hivyo mbona utekaji wa wazi unaendelea?
Msaidizi wa TAL jana katekwa!