PostGE2025 Aliyesema Rais Samia ajiuzulu kabla ya Disemba 9, Dkt. Malisa aachiliwa huru, Mahakama yamfutia kesi ya Uhaini

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mchungaji Malisa ambaye ni mwanachama mtiifu wa ccm yuko sahihi sana
 
Hapakuwa na kesi ila fit ina na vitisho uchwara
 
Wanasheria tusaidieni, hivi hakimu mkazi anayo mamlaka ya kusikiliza kesi ya uhaini? Na kama hana ameamua kesi ipi kati ya zile mbili?
 
Bongo bhana...
 
Watamvizia nje ya mahakama
 
Hii ni wazi kabisa kuwa serikali inabambikizia watu kesi za uhaini.
Mzee Malissa amesota jela bila hatia alafu anakuja kuachiwa kimyakimya!
Ni katika utawala huu pekee wa Samia kesi za uhaini zinafunguliwa hovyo hovyo tu pasipo hata ya kuwa na ushaidi, na bila ya kujali ukubwa wa jinai hii pekee inayotajwa ndani katiba ya nchi.

Yaani jeshi la polisi na ofisi ya DPP zimekubali kutumika vibaya bila weledi ili tu kudhibiti hoja kinzani za wakosoaji wa uongozi mbovu na maovu ya watawala. Samia daima historia itakumbuka kwa maandishi ya wino wa kinyesi cha uharo wa kipindupindu.
 
Kesi ya uhaini ina hukumu mbili.kama utakutwa na hatia, kifungo cha maisha au kifo hakuna kuonyea usifanye fujo yoyote mwaka mmoja.
Pia kesi ya uhaini inasikilizwa na mahakama kuu.
 
Hii ni damage control...
baada ya chama kubaini uwepo wa mwanguko wa imani na kutoridhika kwa kiwango kikubwa miongoni mwa wananchi. Ni jaribio la kimkakati la kurejesha uhusiano mwema na wananchi...

Hii ni political engineering...
Kama ni hivyo mbona utekaji wa wazi unaendelea?
Msaidizi wa TAL jana katekwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…