Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Tuwekw mimi na wewe salary slip zetu uone...!

Afisa kamanda ni nan?
Mi nataka tutaje masomo tuliyosoma na maksi kwanza, ili tuone mimi na wewe nani bright darasani, tuanze na mathematics A level ulipata ngapi, ukinidanganya nakupa swali la hesabu hapa ulisolve.
 

Hii hotuba ilisomwa lin au bado una ushamba ...🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huo mshahara hamfiki ,kama unabisha prove ,nikp online masaa 24 ,inakuuma ila ni ukweli.
 
Mi nataka tutaje masomo tuliyosoma na maksi kwanza, ili tuone mimi na wewe nani bright darasani, tuanze na mathematics A level ulipata ngapi, ukinidanganya nakupa swali la hesabu hapa ulisolve.
Unaniita darasa la saba unanifahamu vizuri?
 
A level ulisoma combination gani?

Hii hotuba ulisikiliza ? wewe jamaa haujajibu hata moja , endelea kudanganya na kilipwa laki 700,000 ya degree ..Wenzio maendeleo yanaonekana 🤣🤣🤣..Kijana nilikuona zoba ulipoanza kujiona muhimu kuliko madaktari ,mimi nitaendelea kukuchana mpaka ujitambue.
 
Hizo figures siyo za kweli kjn? Hao wanakudanganyeni hata kwenye ahadi wanazotoq halafu waje kukwambia ukweli hapo? Yaani ni very sad.
 
A level hesabu ulipata ngapi au uliikimbia? Jibu swali
Ushaanza kutisha watu ,sasa fanya unavyoweza ..wewe ni darasa la saba kaa kwa kutulia ,hakuna kitu utafanyaLecturer
 
Ushaanza kutisha watu ,sasa fanya unavyoweza ..wewe ni darasa la saba kaa kwa kutulia ,hakuna kitu utafanya.
Kama ni kupost tu screenshot tu namimi ninazo hizo hapo, zinaonyesha afisa TRA wa degree ana 1.2-1.8mil, mbona ushahidi wangu hauujibu umenyamaza tu?
 

Attachments

  • Screenshot_20250428_200333_Chrome.jpg
    237 KB · Views: 17
Kama ni kupost tu screenshot tu namimi ninazo hizo hapo, zinaonyesha afisa TRA wa degree ana 1.2-1.8mil, mbona ushahidi wangu hauujibu umenyamaza tu?
Hiyo ni hotuba ,naonq unatumia na maendeleo yanaonekana kabisa ,hauna kitu ..Kaa kwa kutulia ..Wenzio wanakushangaa huko pembeni na nyota yako ,hapo unaanza afisa kamanda .Hiki nn ?

Ufike A level haujui kwamba kuna certificate na diploma ? Kafie mbele huko!🤣🤣
 
Ninachosema nina uhakika zaidi ya 100% umepotoshwa na hiyo screenshot
Naona unaanza kutupa taulo ,kaa kwa kutulia ..Hamna kitu cha siri washasoma sana palw bungeni ; wizara yenu ni moja ,mnapishana kitu kidogo sana...Angalia nakupiga magoli tu ,hauna jibu...
 
Wapi nilisema sijui kuwa kuna certificate na diploma? Level za taaluma zipo hivi

Certificate (astashahada)
Diploma (stashahada)

Advanced diploma (stashahada ya juu)
Degree (shahada)

Post graduate diploma (stashahada ya uzamili)
Masters degree (shahada ya uzamili)
PhD/Doctor of philosophy (shahada ya uzamivu)

Ukiendelea utawakuta senior lecturers, associate professors and full professors.

Haya, niambie wapi nilisema sijui kama kuna certificate au diploma?
 
Aliyekwambia nina nyota moja ni nani? Mbona unanipachika maneno?
 
Lazima tu uende google 🤣🤣🤣
 
Aliyekwambia nina nyota moja ni nani? Mbona unanipachika maneno?
Mishahara pale bungeni imetajwa mara kadhaa ,hat juzi wale madogo waliojitolea kiwango cha posho ni 5,000 kwa siku🤣🤣🤣Wengine bado wanadai mafao yao ,yaani mwaka 2025..Hao madogo wapo wenye degree ...Mikwara mingi utanywea tu..

Nina hakika lazima uombe msamaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…