Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Maliza mkopo wa pikipiki kwanza🤣🤣🤣
Sawa mzee, yani mtu anapokea mil+ huko nkang'ang'ane na pikipiki ya nini sasa mzee au ndo umeamua leo kujifaragua na hata nkisema natumia pikipiki ni sio kwamba siwezi kununua Gari hapana naweza sana na mwanzo nilikuambia kuwa matumizi ya mtu ni utashi wa mtu mwenyewe
 
🤣🤣🤣Kanunue Godoro kambini upate la bei rahisi🤣🤣
 
-Mnabishana kuhusu mishahara ya askari na raia, kote Kuna hela ndogo
- Kaangalie individual Consultants wa tarura,ewura,latra ,tpa tanroads,wanavyolipwa consultant wa Cheo Cha chini analipwa 9m, haya huko kwenye ajira zenu 9m ni nani analipwa
 
Nipe connection ukoo
 
Unamzidi hadi rubani, hongera
-Mnabishana kuhusu mishahara ya askari na raia, kote Kuna hela ndogo
- Kaangalie individual Consultants wa tarura,ewura,latra ,tpa tanroads,wanavyolipwa consultant wa Cheo Cha chini analipwa 9m, haya huko kwenye ajira zenu 9m ni nani analipwa
 
-Mnabishana kuhusu mishahara ya askari na raia, kote Kuna hela ndogo
- Kaangalie individual Consultants wa tarura,ewura,latra ,tpa tanroads,wanavyolipwa consultant wa Cheo Cha chini analipwa 9m, haya huko kwenye ajira zenu 9m ni nani analipwa
Jw luteni usu anaanza na 2m
 
Back
Top Bottom