Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Afisa wa jeshi ana cheo na hadhi kuliko afisa wa TRA, ndomaana cheo chake anapewa na Rais wa nchi lakini afisa wa TRA usikute hata huyo Rais wa nchi hajawahi kumuona, we waafisa wa jeshi kuna kipindi wanaapishwa hadi ikilu na Rais wa nchi, katiks seniority za kitaifa, afisa wa jeshi ni commissioned officer, ni senior kuliko afisa wa TRA wacha kupotosha watu.

Akisimama afisa wa jeshi na afisa wa TRA, akitokea Rais wa nchi eneo hilo, ni afisa wa Jeshi ndo ataruhusiwa kusalimiana na Rais/kiongozi mwingine wa kitaifa, huku afisa wa TRA akitakiwa kukaa pembeni upande wa kushoto kutokana na seniority protocols.
  • Suala la kuapishwa na Rais lisikupe kiwewe kwa sababu huo ni muundo uliorithiwa kutoka kwa wakoloni.
  • Hata Mawakili wanaapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania lakini kwa status most of Mawakili hawawafikii Maofisa wa tra.
  • Hata Gazetted officer wa police, prison wanaapishwa na waziri wa homeaffirs kwa hiyo Wana status,pesa sawa na Maofisa wa tra?
  • Mkuu wa wilaya anateuliwa na rais lakini meneja wa tra mkoa (regional manager) anateuliwa na Commissioner general wa tra lakini meneja wa tra ndie mwenye pesa kuliko DC,RAS,DAS Kadhalika Maofisa wenu.
  • Afisa wa Jeshi ni senior katika Maofisa wa majeshi yale ya prison, police, immigration,fire yeye ndie senior seniority yake haitoki kwenye majeshi
  • Si kweli kuwa Afisa wa Jeshi ndie atakayeruhusiwa kumsalimia Rais bali kama na ofisa wa tra yuko hapo na amealikwa atasalimiana na Rais, na kama Kuna kero ya Kodi atayeulizwa maswali na kutoa ufafanuzi ni Ofisa wa tra, kwa sababu mambo ya Kodi yanagusa wananchi moja kwa moja wakati Mambo ya kijeshi hayagusi moja kwa moja
  • Kuhusiana na pesa, status, heshima tra ndio number 1 kawaulize wafanyabiashara kuhusu Maofisa wa tra wanavyowaheshimu, hivi hujui kwamba kwa Sheria za Kodi za Tanzania Maofisa wa tra wamepeww mamalka makubwa sana (i.e kukadiria Kodi,kufunga biashara,kukamata account,) hata hao Maofisa wa jeshi wenye biashara wanawaogopa Maofisa wa Tra, BTW hata ukitongoza demu ukimwambia wewe ni Ofisa wa tra uone kama atakukataa.
-
 
Sasa hao wanaoapishwa na mawaziri na afisa wa jeshi anayeapishwa na Rais wa nchi nani senior? Unaelewa unachokiandika?

Kwahiyo afisa wa TRA na afisa wa jeshi, wakikutana na Rais, afisa wa TRA ndo atapiga salute kwa Rais afu afisa wa jeshi akae pembeni? Au hujui maana ya kusalimia kijeshi? Ulipitia hata JKT kweli?

Mkuu wa wilaya na meneja wa TRA wa wilaya kiserikali nani senior? Mbona unapotosha umma kijana? Unashindwaje kujua protocol zz kitaifa na una degree?
 
Haruhusiwi, yaani akijiroga akaonwa na senior wake, anachukuliwa hatua.
Kwahiyo mtu asipovaa uniform ndo risk inapungua? Kwamba ukikodi bodaboda ukiwa na uniform ndo kuna risk, ukiwa huna ndo risk inapungua, uniform inabadilisha nini hapo? Ukiona kapanda daladala hana uniform ujue anatumia kichaka cha kutoonekana, ila ikibainika anachukuliwa hatua vizuri tu.
 
Sasa hao wanaoapishwa na mawaziri na afisa wa jeshi anayeapishwa na Rais wa nchi nani senior? Unaelewa unachokiandika?

Kwahiyo afisa wa TRA na afisa wa jeshi, wakikutana na Rais, afisa wa TRA ndo atapiga salute kwa Rais afu afisa wa jeshi akae pembeni? Au hujui maana ya kusalimia kijeshi? Ulipitia hata JKT kweli?

Mkuu wa wilaya na meneja wa TRA wa wilaya kiserikali nani senior? Mbona unapotosha umma kijana? Unashindwaje kujua protocol zz kitaifa na una degree?
- Hoja yangu ilikuwa ni pesa, kwamba tra regional manager anapesa kuliko DC RAS DAS umeelewa? Rudia kusoma hoja yangu Mimi ilikuwa kwenye pesa na ndio maana nikakwambia kuwa regardless unateuliwa na Rais lakini pesa unaweza ukazidiwa na Maofisa ambao hawateuliwi na Rais kama Maofisa wa tra, kwa taasisi kama tra wanaoteuliwa na Rais ni makamishna,kamishna Mkuu, deputy
-Ofisa wa tra hawezi kupiga salute kwa sababu salute ni heshima za kijeshi, na huyo ofisa wa jeshi anampigia salute Kama amiri Jeshi Mkuu, hoja yangu ya msingi ni pesa hayo mambo ya kuapishwa na Rais halafu unazidiwa pesa, ndio maana regional manager wa tra hateuliwi na Rais lakini yeye ndie anaongoza kwa hela kwenye mkoa mzima hakuna anayemfikia kwa hela
-
 
Hoja sita hujajibu unaropoka ropoka kama unaimba taarabu.
Hoja zipi ? Unaandika mambo mengi hayana msingi ,basi mfundishwe hata kujiamini sio hauna point unazunguka tu..Ukweli unaujua 🤣
 
Ona rafiki yako Saveya namna anavyojibu hoja, anaonekana kabisa ana akili, siyo mtu kama wewe hujielewi hata akili ya kawaida tu huna.
 
Hauna hoja wewe ,haujawahi kujibu swali langu basi tulia mpaka utakapojibu..Nitakupa nondo.
 
- Hoja yangu ilikuwa ni pesa, kwamba tra regional manager anapesa kuliko DC RAS DAS umeelewa? Rudia kusoma hoja yangu Mimi ilikuwa kwenye pesa na ndio maana nikakwambia kuwa regardless unateuliwa na Rais lakini pesa unaweza ukazidiwa na Maofisa ambao hawateuliwi na Rais kama Maofisa wa tra, kwa taasisi kama tra wanaoteuliwa na Rais ni makamishna,kamishna Mkuu, deputy
-Ofisa wa tra hawezi kupiga salute kwa sababu salute ni heshima za kijeshi, na huyo ofisa wa jeshi anampigia salute Kama amiri Jeshi Mkuu, hoja yangu ya msingi ni pesa hayo mambo ya kuapishwa na Rais halafu unazidiwa pesa, ndio maana regional manager wa tra hateuliwi na Rais lakini yeye ndie anaongoza kwa hela kwenye mkoa mzima hakuna anayemfikia kwa hela
-
Kupewa priority ya kupiga salute ndo seniority yenyewe, siyo tu nidhamu za kijeshi pekee hapana, kama wewe ni afisa wa TRA, upo na kamishna mkuu wa TRA, akija waziri wa fedha au Rais, kamishna mkuu wa TRA ndo atapewa first priority ya kusalimiana na waziri kisha utafuata wewe afisa wa kawaida, Kwahiyo ndo yale yale ya u-seniority
 
Huna swali, tulia nijadili na Saveya ndo angalau ana akili, wewe utanipotezea muda tu.
Kaa utulie na ushamba wako ,nan asiyejua na hukutana anazunguka mara afisa kamanda ,acha mikwara wewe ...Hakuna mtu wa kumrukisha kachura ..🤣🤣
 
Afisa kamanda nilishafafanua sasa, hiyo ni dalili ya kuishiwa hoja
 
Naona hata neno entry level hauelewi ,wewe unataka kusema umesoma hauoni kama ni fedheha na aibu... Tunaongelea entry level unaleta mambo mengi.

Sitaki maneno mengi ,uongee ueleweke hayo maneno unaonekana tapeli tu ...Acheni mikwara ya kizamani...
 
Hiyo nilishajibu sitaji, tafuta kazi ufanye
 
Basi kama hautaki kujibu 🤣🤣🤣Tulia basi ...Kama kiapo kila mtu amekula , umuhimu wenu huku kambini huku mtaani hakuna mtu anajielewa utamtisha.
 
Katafute kazi za kufanya acha taarabu
 
Acha mambo ya kizamani ,mnakopa maduka ya huko kwani mnaishi mbinguni? Kuna afisa anaishi Masaki ,osterbay...Katishe watoto ,unaweza kuchezea mbata na ngwanda zao,mimi ukirusha kofi nitajibu mara mbili yake.

Unajidhalilisha na taarabu zako mwanaume mzima, tafuta kazi ukaganye shame kwa shemeji yako, dada yako anapigwa bao nyingi ili kufidia hasara unayompa shemeji yako, hama ukajitegemee, ihurumie K ya dada yako inachakaa.
 
Back
Top Bottom