Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Sitting allowance kwa baadhivya Taasisi ni 150k ,hii kama bungeni ,nilikwua nakaa wiki mbili na usheee ...Napata posho ya mawasiliano ambayo ni 200k kwa mwezi, kulipia kingamuzi cha nyumba 240k flat ,ila nilikuwa na azam Tv haifiki hata 30k kwa kipind kile ...Utanieleza nn na sivai uniform 🤣🤣🤣🤣....Mtu ana pesa mpaka ya kufuta viatu .
Huna hoja, hoja zangu umekimbia zote
 
Mkisemwa mnaleta mikwara , hamna maendeleo kiufupi na hamna kitu cha kuwatisha watu....Kaa kwa kutulia wazee wa mikopo ,hizi Taasisi kubwa hamtoboi kwa bongo mnatumika kisiasa tu hamna cha maana.
Bora hata huyo mwenzako ana akili, hujui hata tulichokuwa tunajadili unaparamia paramia hoja tu, hama kwa shemeji yako ukajitegemee ndo utapata akili ya kubishana na mimi.
 
😀😀 Ameogopa kukutag aisee
Kwani lazima nimtag mtu? Nilimtaja kwako, kumbe nawewe akili zako ni kama za jamaa yako, umepotosha maslahi ya madaktari halafu hujui wanalipwaje, waraka huna
 
Bora hata huyo mwenzako ana akili, hujui hata tulichokuwa tunajadili unaparamia paramia hoja tu, hama kwa shemeji yako ukajitegemee ndo utapata akili ya kubishana na mimi.
We form four unalikimbilia wapi?🤣🤣
 
Unafikiri kwanini haruhusiwi? Hata boda boda au bajaji haruhusiwi, kwasababu ni mtu muhimu na kapatikana kwa gharama kubwa, hatuwezi kumruhusu akae kwenye usafiri wa risk na kudgalilisha taasisi ya JW.

Kingine wewe ndo umeshiba stori za viniweni, nilikuona kiazi ulivyopost screenshot za mishahara ya uongo hadi Saveya akakupinga, ningepinga mimi ungeniona mbishi
Lakini afisa TRA anaruhusiwa kupanda boda boda, afisa wa JW haruhusiwi, kwasababu kwanza unadhalilisha JW, pili anajiexpose kwenye risk ya ajali na huku ni mtu mkubwa. Anatakiwa anunue gari lake ndomaana analipwa hela nyingi, hata akiwa kwenye kozi ya kusomea nyota, haruhusiwi kupanda bodaboda, daladala wala bajaji.
 
Huna hoja, hoja zangu umekimbia zote
Hoja zipi na hautaji mshahara unaleta maneno mengi kama tapeli... Unafikiria sisi hatujakula kiapo?🤣 Tumeapishwa na Qur an na sio viapo vyenu maandazi..Hata usipotaja ukweli unajulikana mngekuwa mnamiliki mikoko ya maana huku mtaani.
 
Hoja ulizokimbia zipo sita unazijua, sina haja ya kuzirudia, umeshindwa kujibu unaruka ruka tu mpaka sasa.
 
Lakini afisa TRA anaruhusiwa kupanda boda boda, afisa wa JW haruhusiwi, kwasababu kwanza unadhalilisha JW, pili anajiexpose kwenye risk ya ajali na huku ni mtu mkubwa. Anatakiwa anunue gari lake ndomaana analipwa hela nyingi, hata akiwa kwenye kozi ya kusomea nyota, haruhusiwi kupanda bodaboda, daladala wala bajaji.
Sasa si kupewa masharti kama waganga mpaka mnavaa uniform ,jaribu kutofautisha nyie mnaokaa bwenini miaka 5 na afisa ambaye ni independent ..Nyie bado mna matatizo zile pesa za vinywaji zinapelekea kuwa walevi kama hamjitambui ,Afisa yupi wakati mambo mengine ni maamuzi ..Hizo Taasisi zina parking allowance ila haufuatiliwi kama una gari au laaah ,wewe unaongea nn?
 
Nikikwambia degree yangu moja tu ukiunganisha yako na ya baba yako hamnipati kwa akili hata robo
Hauna degree kiazi wewe ! Unaandika mambo mengi ila unakosa main point , hiyo degree labda ya kupewa .
 
Sasa si kupewa masharti kama waganga mpaka mnavaa uniform ,jaribu kutofautisha nyie mnaokaa bwenini miaka 5 na afisa ambaye ni independent ..Nyie bado mna matatizo zile pesa za vinywaji zinapelekea kuwa walevi kama hamjitambui ,Afisa yupi wakati mambo mengine ni maamuzi ..Hizo Taasisi zina parking allowance ila haufuatiliwi kama una gari au laaah ,wewe unaongea nn?
Inamaana afisa TRA hata akifa kwenye ajali ya bodaboda ni poa tu hakuna hasara, tutaajiri mwengine, lakini afisa wa jeshi akifa kwenye bodaboda ni hasara kubwa, kawa trained kuwa afisa kwa ghara kubwa ya fedha na gharama ya kurisk uhai wake na mkufunzi wake kipindi cha mafunzo ya nyota, siyo masharti ni kumlinda afisa wq JW maana ni wa shamanic mno.
 
Hauna degree kiazi wewe ! Unaandika mambo mengi ila unakosa main point , hiyo degree labda ya kupewa .
Habari ndo hiyo, main point unayoulizia nilishaisema, wewe ndo huelewi afy unajiita una degree, itakuwa ni degree ya chupi hiyo
 
Lakini afisa TRA anaruhusiwa kupanda boda boda, afisa wa JW haruhusiwi, kwasababu kwanza unadhalilisha JW, pili anajiexpose kwenye risk ya ajali na huku ni mtu mkubwa. Anatakiwa anunue gari lake ndomaana analipwa hela nyingi, hata akiwa kwenye kozi ya kusomea nyota, haruhusiwi kupanda bodaboda, daladala wala bajaji.
  • Afisa wa Tra pia ni mtu nyeti kwa sababu anakusanya mabilioni ya kodi ambayo yanaenda kuwalipa hadi huko kwenu, umeona tunavyotegemeana?
  • Afisa wa tra kwanza ndio mwenye kuweza ku-catch attention nenda sehemu yoyote ile jitambulishe kama ofisa wa tra uone Kila mtu mtazamo wake utakuwa ni ana pesa,status na heshima.
-mtihani wa kumpata ofisa wa tra ni mgumu zaidi maradufu compared to ofisa wa kwenu, ukiona mtu kapata kazi tra kweli huyo kichwani yuko bright compared to huko kwenu
  • Huko kupanda bodaboda, public transport ni Akiwa kwenye sare au Akiwa amevaa kiraia,
  • kwani ofisa wa tra na ofisa wa jeshi nani mwenye hadhi? Ukienda kwa mtoto mdogo ukimuuliza kuhusu tra image yake ni money, pesa,pesa.
  • Maofisa wa tra Wana privilege ya kikodi ya kuagiza magari kwa nafuu na ndio maana ni rahisi kukuta ofisa wa tra kununua range Rover,lakini sijawahi kuona junior officer anaendesha range Rover.

- tukija kwenye fursa za pesa wapi Kuna fursa za pesa? Ofisa yupi ana fursa za pesa?
 
Hamna kitu kama hicho, hauko informed so kaa kwa kutulia, pia simaanishi JW ndo wanalipwa nyingi kuliko taasisi zote nchini hapana, ila nabishana na nyie kwa jinsi mnavyowa-inderate kwa kupost mishahara ya uongo ambayo ni midogo kuliko uhalisia.
Bado ni hela ndogo kwa mashirika ya umma huko Kuna vikao, safari, extraduty, transport, communication, incentive, mnaowazidi sana ni tamisemi Hawa ndio mnawaonea.
 
Inamaana afisa TRA hata akifa kwenye ajali ya bodaboda ni poa tu hakuna hasara, tutaajiri mwengine, lakini afisa wa jeshi akifa kwenye bodaboda ni hasara kubwa, kawa trained kuwa afisa kwa ghara kubwa ya fedha na gharama ya kurisk uhai wake na mkufunzi wake kipindi cha mafunzo ya nyota, siyo masharti ni kumlinda afisa wq JW maana ni wa shamanic mno.
🤣🤣Kwani nyie wanajeshi mna nn cha maana ? Kama mngekuwa mnajali uhai msingekuwa mnaendesha pikipiki kama bodaboda ,tena mnapewa za mkopo kabisa🤣
 
Habari ndo hiyo, main point unayoulizia nilishaisema, wewe ndo huelewi afy unajiita una degree, itakuwa ni degree ya chupi hiyo
TRA hamna darasa la saba wala form four labda ukafagie ,baki huko hakuna waliofeli form four huko🤣
 
Back
Top Bottom