Bro pesa ya nyumba ya afisi taasisi fulani mwaka 2020 ilikuwa ni 600k...Ana pesa ya mawasiliano , ana mpaka pesa ya parking wka rate ya 10k per day ...Jeshini bado sana ,naishi nao mpaka kesho hauwezi kujidanganya....🤣🤣Jeshini ungeona watoto wa CCM wote ,japo Mhe.Kikwete alikuwepo na kuongeza maslahi ila hakuna mwanamke ... Jeshini wengi wanaishi kwa mikopo ,kawaida sana labda wapige mshindo qa kwenda vitani...Sasa hizo taasisi kwa mwaka 2023 walishatoka mishahara ya 2.5 wako juu.
Kozi wanaenda kwa miaka miwili hapa tunalinganisha na afisa wa taasisi mwenye training za kutosha ,safari za kikazi ,afisa mwenye posho ya sikukuu ...Afisa ambaye ana sitting allowance ,ana posho mpaka ya vocha ya simu ..Ulishawahi kusikia pale TPA watu kikao walipewa bahasha zina laki 5 ...Miala ya Magufuli ile ,watu wanakilinda ofisi kama 50k daily wanafanya watakachp ni kama pesa ya karanga.
Kuna pale Dp world kuna wana wanacertifcate wanavuta mil 4 ...Nje ya pesa ya msosi,overtime na vitu vingine vingi ...Wewe unacheza ...Weka mshahara wa luteni wako niweke entry level ya afisa pale ,BOT,TCAA ,TASAC ,UWERA ,TCRA...
Sure