Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Hahaha! Uongo mtupu eti Askari wa vyeo vya Kati, vyeo vya Kati kama vipi??

Uongo mtupu! Eti Askari mwenye uzoefu na vyeo vya Kati analipwa 850k? Unavijua vyeo vya Kati wewe au unasema tu.

Pte mkongwe anakunja 800+ na hichi ndo cheo kidogo jeshini.
Kingine unacho chekesha eti Jenerali analipwa 3500+ asee acha dharau mazee!

Ngoja nkwambie Hawa jamaa wana vikozi vingi vingi vya ujuzi ambapo kila kozi ni analipwa na Kuna ambazo malipo yake hadi 300k na unakuta mtu Ana kozi hata Tatu ambzo amepiga.

All in all ntafutie darasa la saba aliyeajirwa na serikali analipwa let's say tuseme kama cha chini kabisa JWTZ private
Mshahara=800+
Ration=300k
Package=100k kila mwezi baada ya miezi mi3 300k.
Kozi?
Umeme=?
Maji=?
Mazingira=?
Ofisa wa tra anakula mara 3 ya huo mshahara, bado extra duty, housing, communication, nk
 
Bro pesa ya nyumba ya afisi taasisi fulani mwaka 2020 ilikuwa ni 600k...Ana pesa ya mawasiliano , ana mpaka pesa ya parking wka rate ya 10k per day ...Jeshini bado sana ,naishi nao mpaka kesho hauwezi kujidanganya....🤣🤣Jeshini ungeona watoto wa CCM wote ,japo Mhe.Kikwete alikuwepo na kuongeza maslahi ila hakuna mwanamke ... Jeshini wengi wanaishi kwa mikopo ,kawaida sana labda wapige mshindo qa kwenda vitani...Sasa hizo taasisi kwa mwaka 2023 walishatoka mishahara ya 2.5 wako juu.

Kozi wanaenda kwa miaka miwili hapa tunalinganisha na afisa wa taasisi mwenye training za kutosha ,safari za kikazi ,afisa mwenye posho ya sikukuu ...Afisa ambaye ana sitting allowance ,ana posho mpaka ya vocha ya simu ..Ulishawahi kusikia pale TPA watu kikao walipewa bahasha zina laki 5 ...Miala ya Magufuli ile ,watu wanakilinda ofisi kama 50k daily wanafanya watakachp ni kama pesa ya karanga.

Kuna pale Dp world kuna wana wanacertifcate wanavuta mil 4 ...Nje ya pesa ya msosi,overtime na vitu vingine vingi ...Wewe unacheza ...Weka mshahara wa luteni wako niweke entry level ya afisa pale ,BOT,TCAA ,TASAC ,UWERA ,TCRA...
 
Ofisa wa tra anakula mara 3 ya huo mshahara, bado extra duty, housing, communication, nk
Huyo jamaa anacheza sana sidhani kam ni mzima ,hizo posho ndiyo atakimbia ,housing unakuta ni laki 7 ,huku kuna pesa ya tafadhari laki 6 ,huku kuna hivi ...Vitu vingi watu wanakula pesa. Tena ogop sana hawa wenye mishahara ya mil 3 pesa nyingine wamezificha kwenye kichaka cha posho
 
Bro naishi na luteni ni jamaa yangu hapa kwetu , kama mimi mwongo nakuambia posho anayolipwa afisa wa taasisi kamq LATRA basi huyo jamaa hafiki mshahara wake wa mwezi ... wanajeshi wana uzuri kwenye mikopo ,riba zao ,upataji wa bidhaa jeshini safi ....Ila ni wa kawaida unakuta ,afisa tu wa kawaida taasisi fulani ana pesa ya mawasiliano laki 2 ,nyumba laki 6 ,risk allowance lako 5 ,meal laki 5 , festival allowance kama kipind hiki cha sikukuu inafika mpaka laki 6..Utamwambia nn ...Per diem zimebadlishwa wengi wanacheza 250k per day , Utamwambia nn ?

View attachment 3310243
Hizo data ni za uongo, ni pesa ndogo hizo zinazotajwa, ila katu siwezi kutaja mishahara yao humu.
 
Nilichogundua ww hauna uelewa na maswala ya majeshi yote ya ulinzi na usalama kuhusu malipo yao na ndio maana mpaka ADC unasema Afisa mkubwa wa jeshi ngoja tuendelee kukusikiliza na kukupuuza tu.
Huyo kwanza jeshi halijui, achana nae, hajui hata vyeo vyao.
 
Ni bora ungetaka ufafanuzi kwanza kuliko kukurupuka ...Kuna wanajeshi wa sehemu tofauti ,wapo wenye kada zao kama maburani ,wauguzi , engineer, karibia kada zote mpaka madereva

Sasa kama una uhakika ,niambie wan maslahi yapi ya kushinda zile taasisi kubwa ,labda wapige mshindo wa kwenda kwenye vita ila taasisi kubwa ni level nyingine wewe ...Ili uwe maslahi nakubwa jeshini lazima uwe umesoma sana ila elimu ile ile ukiwa sehemu nyingine unapata zaidi ya jeshini ...Jeshini bado mzee ni kasumba za kuongelea huku ,ninaishi na wanajeshi hawa wa ngazi ya degree wengi tu pale kange.
Kwamba jeshini ukisoma sana ndo unakuwa na mshahara mkubwa dah 😢
 
Huyo jamaa anacheza sana sidhani kam ni mzima ,hizo posho ndiyo atakimbia ,housing unakuta ni laki 7 ,huku kuna pesa ya tafadhari laki 6 ,huku kuna hivi ...Vitu vingi watu wanakula pesa. Tena ogop sana hawa wenye mishahara ya mil 3 pesa nyingine wamezificha kwenye kichaka cha posho
Ni kweli kuna taasisi zinalipa, ila kupata kazi huko sasa ndo mtihani. OK makamanda wamelipwa Chao juzi, we hujalipwa, unasemaje?
 
Hahaha! Uongo mtupu eti Askari wa vyeo vya Kati, vyeo vya Kati kama vipi??

Uongo mtupu! Eti Askari mwenye uzoefu na vyeo vya Kati analipwa 850k? Unavijua vyeo vya Kati wewe au unasema tu.

Pte mkongwe anakunja 800+ na hichi ndo cheo kidogo jeshini.
Kingine unacho chekesha eti Jenerali analipwa 3500+ asee acha dharau mazee!

Ngoja nkwambie Hawa jamaa wana vikozi vingi vingi vya ujuzi ambapo kila kozi ni analipwa na Kuna ambazo malipo yake hadi 300k na unakuta mtu Ana kozi hata Tatu ambzo amepiga.

All in all ntafutie darasa la saba aliyeajirwa na serikali analipwa let's say tuseme kama cha chini kabisa JWTZ private
Mshahara=800+
Ration=300k
Package=100k kila mwezi baada ya miezi mi3 300k.
Kozi?
Umeme=?
Maji=?
Mazingira=?
Huyo hajui jeshi achana nae utapoteza muda, hata wewe huo mshahara wa private ulioutaja ni mdogo, currently siyo huo, hapo hujaongezea taaluma za vyuo vikuu alivyosoma.
 
Back
Top Bottom