Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Hahaha! Uongo mtupu eti Askari wa vyeo vya Kati, vyeo vya Kati kama vipi??

Uongo mtupu! Eti Askari mwenye uzoefu na vyeo vya Kati analipwa 850k? Unavijua vyeo vya Kati wewe au unasema tu.

Pte mkongwe anakunja 800+ na hichi ndo cheo kidogo jeshini.
Kingine unacho chekesha eti Jenerali analipwa 3500+ asee acha dharau mazee!

Ngoja nkwambie Hawa jamaa wana vikozi vingi vingi vya ujuzi ambapo kila kozi ni analipwa na Kuna ambazo malipo yake hadi 300k na unakuta mtu Ana kozi hata Tatu ambzo amepiga.

All in all ntafutie darasa la saba aliyeajirwa na serikali analipwa let's say tuseme kama cha chini kabisa JWTZ private
Mshahara=800+
Ration=300k
Package=100k kila mwezi baada ya miezi mi3 300k.
Kozi?
Umeme=?
Maji=?
Mazingira=?
Umesahau na kama yupo jkt ana pesa pale ya ukufunzi
 
Kumbe unaoishi nao ni darasa la saba, ndomaana unasema hivyo. wenye nyota unajua wanalipwaje?
Hapa tunafanana na taasisi kubwa ,sasa wewe sema analipwa shilingi ngapi?
 
Hapa tunafanana na taasisi kubwa ,sasa wewe sema analipwa shilingi ngapi?
Sisemi ndugu, ila unafikiri ni wangapi wanafanya kazi kwenye hizo taasisi na unafikiri ni rahisi kupata kazi huko? Asilimia kubwa ya watumishi wapo tamisemi na kwenye mawizara, ambapo pesa zao ni ndogo mno.
 
Mzee usidanganywe huko kama kungekuwa hivyo ...Wale CCM wangejaza watoto ,naongelea wabunge na mawaziri ...Huku kutupu nilikuwa nafikria hayo miaka mingi ila nashukuru sijafika pia .
Hao wabunge na mawaziri si ndo wana maslahi makubwa zaidi kuliko hizo taasisi
 
Toa mchanganuo , ungeona watoto wa CCM wako huko.
Sasaiv kuna ushindani mkubwa kuingiza watu uko pia kinacho wafanya watu wengi wasipeleke. Uko watoto ni ugumu wa kozi pesa ipo ila kozi ngumu sa a bro
 
Mzee usidanganywe huko kama kungekuwa hivyo ...Wale CCM wangejaza watoto ,naongelea wabunge na mawaziri ...Huku kutupu nilikuwa nafikria hayo miaka mingi ila nashukuru sijafika pia .
Wengi wa hao watoto wasisiemu wanapelekwa sehemu lain laini
mkuu
 
Sasaiv kuna ushindani mkubwa kuingiza watu uko pia kinacho wafanya watu wengi wasipeleke. Uko watoto ni ugumu wa kozi pesa ipo ila kozi ngumu sa a bro
Jeshini mafanikio yake ya muda mrefu sana ,hamna pesa ...Vijana wanasuktwa kwanza miaka 5 kambini ...Hii miaka 4 kijana wa TRA ana mkoko na kashaiba vya kutosha ...Kazini utapata wapi zaidi ya dosho zote zinaingai moja kwa moja ...Kozi hata uende vyeo vyao zinaenda taratibu sana ... Taasisi miaka 3 wa nne ushakuwa afisa grade 1 unapanda ...Miaka 10 ushakuwa senior automatically na pesa za kumwaga ,wana saccos zao kama TRA mtu anakopa pesa ndefu.
 
Jeshi mbona mikopo pia ipo juu
 
Back
Top Bottom